Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

d20a972294b63418fabb5919cda38972.jpg

2+ bet WON
 
mimi imenitoa kimasomaso sana hadi nasahau machungu ya kupigwa kwenye ligi za mpira [emoji4] [emoji4]
though betting itabak kuwa betting tu hakuna kitu cha uhakika saaaana
Shusha za leo kiongoz
 
ngoja mikiwa sehemu nzuri nitajaribu kupitia pitia league nyingine..
though mimi mara nyingi huwa nabeti sana ile league ya marekani ambayo kwa leo nadhan kuna mechi mbili tu
 
shida kubwa ya hapa bongo ni watu kuweka betslip timu 15 huwez kula kamwe ndio maan makampuni ya betting yanafungua kwa wingi maana hapa wanapata profit sana.
weka game 1 - 2 stake big

haya sure bet ya leo

Russia Footbal
Gazovik vs Yenisey GG & 3 weka mzigo
Fact mkuu
 
[emoji122][emoji122]Ila amekutoa jasho pole aise!
Vibaya mno. Sasa hapo unakuta mtu kacheza home win halafu timu inapigwa red card 3, hapo ndio utaamini sasa kuwa direct win ni hatari kwa afya yako
 
Nawapongeza sana Princess bet mana wanaweka Ligi za chini zinazofungana sana kana kwamba unaweza weka hata over 4.5 unalamba tu, so kwa siku huwezi kukosa maji ya kunywa.. [HASHTAG]#Addicted[/HASHTAG] to betting
 
Halafu wana odd za kibabe
 
Back
Top Bottom