Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20171109-065011.png
Screenshot_20171109-065002.png
Screenshot_20171109-063717.png
Screenshot_20171109-063619.png
Screenshot_20171109-063611.png
Screenshot_20171109-063440.png
 
Ngoja nione kama GSW watafikisha vikapu 109 ili nirudishe hela yangu ama BACHCHAN na yenyewe ataikwapua maana hana huruma.
 
Nilikuwa muumini mkubwa sana wa 3+ nikawa naweka mizigo nikawa nakula za mbavu sana mechi kibao zikawa zinachana , nikasema nigeuze upepo tokea juzi niweke hela ndogo za majaribio naona inaua 1 au 2 coz naweka team nyingi 1
 
Niliwakimbia Knicks nikifikiri huku kuna uhafadhari na kwenyewe dhahama
Apo umechezea vitasa sana asee
Ndo maana napenda live game kubet nliweka over 234 ghafla q4 wakapunguza kasi zile dk 3 za mwanzo nkajua nimechana maana walishuka mpk 225 ghafla wakapanda kwa kasi ya ajabu mpka 241
 
Ila kuna baazi ya league sio zote hasaa argentina brazil B na seria A chache tokea nimix na 0-2 katika mikeka nane niliyocheza ni mitano imechana kwa gem moja moja nazani naanza kuielewa 0-2
 
Back
Top Bottom