Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 914
NBL inasaanza saa 9:30
Si mchezo
Ukisikia paaah ujue haijakupataSi mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisikia paaah ujue haijakupata
aliyelenga hana shabaha amefanya makosa.
Yaani imenikosakosa haswaaaUkisikia paaah ujue haijakupata
aliyelenga hana shabaha amefanya makosa.
Aisee pesa niliyoiweka hapo leo ningeumwa siku nzima, kikapu cha ushindi kimepigwa dakika ya mwisho sekunde ya mwisho. Lakini pia shukrani zimwendee Celtics kwa ushindi wa leoNimeponea tundu la sindano baada ya mikeka 3 kwenda na maji nkaweka over 225 kikapu kimoja kimenikomboa
Nimesahau password ya premier naweza reset kweli kwa uzoefu wakoLiwalo na liwe.![]()
Mkuu maana ya 0.5 over ni nn?Alessandria Calcio v Olbia Calcio
2nd Half - Totals 0,5 Over
Odds 1.32
Spain v Iceland
1st Half - Totals 0,5 Over
Odds 1.22
Goli moja na kuendeleaMkuu maana ya 0.5 over ni nn?
Haya mambo ya over/under yananichanganya sana
Pole kiongoziHAO NDO WACHINA... Ukiweka under yanatoa Over, ukiweka Over yanatoa under... 🙁🙁 Sasa jitimu linapiga vikapu 151, si sifa izo! Alaf juzi yalifunga vikapu 95 kudadeki zaoView attachment 627327
Asante ingawa leo sijatupa kete kwa wachina, baada ya kupigwa na GSW asubuhi, hadi sasa naimba mapambio tuuPole kiongozi