Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

shukran mkuu ngoja nijimalize upande huu kidogo football namwachia koncho na wengine kwa sasa[emoji3] [emoji3]
poa poa tukutane baadae usiku kwenye NHL ice hockey huenda tukaambulia chochote...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
MZIGO HUO APO... WEKA HATA MAREJESHO YA BOSI WAKO
 

Attachments

  • 002.jpg
    002.jpg
    9.4 KB · Views: 56
Leo siku ya tatu tangu niwithdraw pesa yangu kupitia M-pesa kwenye acc yangu ya PremierBet bado pesa haijaingia
 
Back
Top Bottom