Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Mi huwa sielewi, Hivi kwanini mnakomaa kujiunga hizo kampuni ndogo ndogo ambazo kila siku mnakuja kulalamika humu kua zina matatizo. Kama hapo mwenzio analalamika wewe unaomba ujiunge nayo!!Duh mbona kampuni kubwa na kongwe ni nyingi tuNami naomba msaada jinsi ya kujiunga superbet mkuu