Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

4b51c857bc42789896a87816f0451425.jpg
tumia hii kwa afya yako
 
Kwangu hawajaweka matokeo bado nashangaa hata mimi.....premier bet
86ad33daf42107b983e673741b386136.jpg

SK Tirana na Leviski hiyo hapo mzazi. Leviski katoa over 70.5. Mimi huku kwangu PRINCESS wameshaweka matokeo japo mpunga bado.

Unajua hizi kampuni nyingi wana-scan mkeka manually sio automatic. Mkekabet wao wako intergrated na livescore fulani kiasi kwamba hata kama hakuna mtu ofisini unapata pesa yako bila shida
 
Kumbe sofia kapigwa....bet lost[emoji24]
 
Atoe vikapu zaidi ya 71
Ok kumbe ni tofauti kidogo na soka maana mimi nimetembea na mkeka kama ulivyo lakini nikadhani nimechagua Sofia ashinde na kwa vikapu zaidi ya 71....So kwa maana uliyonipa wewe nime won bet?
 
kwani unatumia bookmaker ipi maana mpaka muda ni lazima uwe umeshaandikiwa results
 
Betting haina adabu kwakweli, yani mi odd 17 ungeweka lak 1, sa ivi ungekuwa una bonge la sherehe moyoni, leo umeweka jero imetiki, sasa jichanganye kesho uweke elf 20, utajuta! unaliwa hata kwa point 1!
[emoji23] [emoji23] kanji nuksi sana...siku ukiweka mzigo unakula za uso ila ukiweka pesa mbuzi anaachia
 
Back
Top Bottom