Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huwezi kujua mkuu kuna wakati mchezaji anazoea mchezo hadi anahisi wanacheza fainali ya kombe la dunia.
Nadhani tuangalie na lineups za team zote, kama wote wanaweka full 1st 11, zitapatikana, ila wakiweka watoto wawafanyie majaribio, watazingua... Ilaa mimi naweka mpunga apo apo,.. Nadhani kuna nafasi kubwa ya ku win!
 
Nimeona Line-Up wote wawili wameweka Vyuma.
 
c0339fd082260439c607e793a185dec2.jpg

HII IMEAKAAJE WADAU
 
HELA HYO APO, KAMA UPO PREMIER WAHI, MECHI INAANZA DK 5 ZIJAZO
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    13.9 KB · Views: 46
Naomba kuuliza uki withdraw hela kutoka princess kwenda mpesa ipo sms wanatuma kuku notified kua kuna hela imeingia au inakuaje
 
Back
Top Bottom