Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi huwa sielewi, Hivi kwanini mnakomaa kujiunga hizo kampuni ndogo ndogo ambazo kila siku mnakuja kulalamika humu kua zina matatizo. Kama hapo mwenzio analalamika wewe unaomba ujiunge nayo!!Duh mbona kampuni kubwa na kongwe ni nyingi tu
Mimi mwenyewe nashangaa sana watu wana-join kila siku hizo kampuni za vichochoroni
 
View attachment 627464 basket hizo,chagua hapo 95%sure
1c632983673391856188a8193a3986c2.jpg

Mwanangu asante sana. Naomba uweke kila siku nitembelee nyota yako.

Bet won japo nimekuta huyo Parnu wa Estonia alikuwa ameshaanza
 
1c632983673391856188a8193a3986c2.jpg

Mwanangu asante sana. Naomba uweke kila siku nitembelee nyota yako.

Bet won japo nimekuta huyo Parnu wa Estonia alikuwa ameshaanza
Hata mm nimetembea nao ila naona bado matokeo ya timu moja hapo mkuu...ngoja nivute subira
 
1c632983673391856188a8193a3986c2.jpg

Mwanangu asante sana. Naomba uweke kila siku nitembelee nyota yako.

Bet won japo nimekuta huyo Parnu wa Estonia alikuwa ameshaanza
Asante mkuu kwa kuufuata odds 16 hizo,sawa nikiziona ntakua natupia mkuu usijali.
 
Svzenia
polonia
Olanda

*OV 2.5*


[11/10, 06:41]

ALBANIA
ROMANIA
SENEGAL
ALGERIA
AUSTRALIA

*OV 1.5*

*IN GOD WE TRUST*
 
ukiona hali kama hii ujue ipo siku daaah
 

Attachments

  • criket.PNG
    criket.PNG
    11.7 KB · Views: 36
  • lose.PNG
    lose.PNG
    17.6 KB · Views: 33
  • lose 2.PNG
    lose 2.PNG
    16.2 KB · Views: 31
Back
Top Bottom