Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mapenz kweny kubet me cna… naenda hv leo

Glory fc win… 1.79
livorno win…. 2.02
Wolfburg win… 1.6
Derby win…. 1.45


Nawek 5000 tuuu
 
Handicap Chelsea kapewa 2.weka 20 ule 40 kukukoo kujaza matimu mengi na ule za uso
 
Liva-win
Chelsea-win
Arseno-win
Mancity-win
Southampton-win
Swansea na sandalandi-draw
Bet@ua own risk😁😁
 
preussen goal both halves
millwal 12 double chance
avellino gg
duisburg gg
fernabhche gg
a.madrid gg
crewe 12 double chance
renate win
alcorcon gg
winterthur gg
bristol 12 double chance
 
Kwa wale mnaopenda kubet dk 45 mkeka huu hapa:

1. Mk dons v bristol city- draw
2. Tottenham v Arsenal- draw
3. Everton v Liverpool- draw
4. A. Madrid v R. Madrid- draw.
Hizi game 3 hapo ni deby. Weka mpunga chota mzigo.

note dk 45 tu

game ya north london derby nina mashaka nayo
 
Mi leo mkeka wangu ni 1+ goal kwa timu totenham,evaton,lyon,atletico,midlesbrough. Ods ni 2 naweka mpunga mwingi
 
Wadau vipi hii dk 45
Chelsea win
Psv win
Porto win
Villareal win
 
Lig ya ufaransa na ujerumani njia nzuri ya kumla mhindi ni GOALS 0-3 JAPO ODDS NI CHACHE KWA WALE WENYE MITAJI ITAWAFAA SANA. Fuatilia kisha utanipa majibu

ina maana gani hapo....ifafanuzi please
 
Atletico vs real- gggg, lyon vs psg- gggg, lirvepool vs erveton- gggg.... Tia mia tano utoke na milioni mbili na chenji...
 
ina maana gani hapo....ifafanuzi please

Yani katika mechi magoli yawe 0-3 wakitoka 0-0 umekula wakitoka 3-0 umekula wakitoka 2-1 wakitoka 1-1 umekula. umekula n.k kwa meridiani
 
Yani katika mechi magoli yawe 0-3 wakitoka 0-0 umekula wakitoka 3-0 umekula wakitoka 2-1 wakitoka 1-1 umekula. umekula n.k kwa meridiani
Mbona nikiingia huko meridian haifunguki,msaada tafazaleeee
 
Mbona nikiingia huko meridian haifunguki,msaada tafazaleeee

Kama haifunguki itakuwa ni tatizo la mtandao au wao wenyewe wamefanya kama kawaida yao ifikapo wkend website yao hua nzito sana kufunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…