Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

0-3 goals. Takribani timu zote zimechezea hapo. Wenye mitaji wanakimbilia kubet final score kisa eti zina odds nyingi. Nami nasema muhindi endelea kuwapiga tu mpaka vijana wafilisike.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha madrid kapigwa stuli
 
Huyu muhindi wa meridian vipi?? yani nimempa za uso hivi mpaka ameamua kunikatia network.. pumbafuu
 
Halftime/fultime
Mfano
Tottenham vs Arsrnal
1-1 hapa inamana tott ashinde mwanzo mwisho
2-2 hapa inamana Arsenal ashinde mwanzo mwisho
Sasa unaangalia mechi yenye odds nyingi kwenye hivyo vipengele viwil maana kuna zingine utakuta
1-1 ina odds ya 4.12
2-2 ina odds ya 7.26
Alafu unaangalia timu nyingine moja au mbili zenye odds za mbili mbili
Mfano
Villareal 2.14 win
Notts forest 2.12 win

Sasa hapo unaigawa hela uliyo nayo kama n 10000
Unaweka5000 kwa 1-1 totto
4.12*2.14*2.12=18.7 odds
5000*18.7=93458

Unaweka 5000 kwa 2-2 Arsenal

7.26*2.14*2.12=32.9 odds
5000*32.9=164685

Hapo unakuwa unauhakika wa kula kwa timu pande zote labda zitoe draw fanyen kubadilika lasivyo muhindi atawaua hiv hiv mnajiona😂😂😂😂😃😃😂😃😂😃😂😂😂
💶💶😋😋mimi napiga misimbaz tu😋😋😋
 
Watu wengi wamekula za uso leo... kamali ni pasua kichwa.. bora kuuza matembele... hahahahaha.

labda wewe ndo umekula za uso kwa kubetia timu kubwa...na kubetia mfumo mmoja....watu wengine huku tumempiga mzungu za uso tunamfikiria kesho tumuweke vip?
 
0-3 goals. Takribani timu zote zimechezea hapo. Wenye mitaji wanakimbilia kubet final score kisa eti zina odds nyingi. Nami nasema muhindi endelea kuwapiga tu mpaka vijana wafilisike.

umeonae....nimeliwa mikeka kama kumi ya takribani 20,000 na kula mikeka kama mitatu kiasi cha 476,000 na nilitumia 50,000 kubetia..nina faida kubwa hapo afu munasema hii ishu hailipi labda kwenu nyie munaobeti kwa tamaa ya kula mamilioni...mtasubiri sana...tumia akili zako zote unapoingia pale na usibeti kwa papara.....
 
Muhindi wa meridian arakoma na mm huu mwaka mpaka ninunue fuso

watu wengine wanabeti kwa tamaa ya kula mamilioni.... afu wanakuja kulalamika huku kuwa leo wameliwa sana.... jamani msikurupuke kwani mutambue kuwa munatumia pesa zenu.... tumieni akili kumpiga huyu mzungu...me leo nimeliwa mikeka kama kumi ya 20,000 na nimekula mikeka mitatu 470000 ambapo nilibetia 50000 cash....kuna option nyingi jamani... me wiki hii nimempiga huyu mtu kama laki tisa na sijui kesho itakuwaje kwani kuna mikeka niliyochanganya timu za leo na kesho zinasoma pesa mingi....
 
Halftime/fultime
Mfano
Tottenham vs Arsrnal
1-1 hapa inamana tott ashinde mwanzo mwisho
2-2 hapa inamana Arsenal ashinde mwanzo mwisho
Sasa unaangalia mechi yenye odds nyingi kwenye hivyo vipengele viwil maana kuna zingine utakuta
1-1 ina odds ya 4.12
2-2 ina odds ya 7.26
Alafu unaangalia timu nyingine moja au mbili zenye odds za mbili mbili
Mfano
Villareal 2.14 win
Notts forest 2.12 win

Sasa hapo unaigawa hela uliyo nayo kama n 10000
Unaweka5000 kwa 1-1 totto
4.12*2.14*2.12=18.7 odds
5000*18.7=93458

Unaweka 5000 kwa 2-2 Arsenal

7.26*2.14*2.12=32.9 odds
5000*32.9=164685

Hapo unakuwa unauhakika wa kula kwa timu pande zote labda zitoe draw fanyen kubadilika lasivyo muhindi atawaua hiv hiv mnajiona😂😂😂😂😃😃😂😃😂😃😂😂😂
💶💶😋😋mimi napiga misimbaz tu😋😋😋

mkuu nimependa pia hiyo staili yako... naomba ufafanuzi ashinde mwanzo mwisho kivip? please naomba kufafanuliwa
 
watu wengine wanabeti kwa tamaa ya kula mamilioni.... afu wanakuja kulalamika huku kuwa leo wameliwa sana.... jamani msikurupuke kwani mutambue kuwa munatumia pesa zenu.... tumieni akili kumpiga huyu mzungu...me leo nimeliwa mikeka kama kumi ya 20,000 na nimekula mikeka mitatu 470000 ambapo nilibetia 50000 cash....kuna option nyingi jamani... me wiki hii nimempiga huyu mtu kama laki tisa na sijui kesho itakuwaje kwani kuna mikeka niliyochanganya timu za leo na kesho zinasoma pesa mingi....

Hongera sana... tupe uzoefu wako namna ya kumpiga huyu kanjubai make anatunyanyasa vya kutosha.
 
nashangaa kuna watu wanalalamika wameliwa sana

Mkuu watu wanaenda kichwa kichwa ndio shida... Mimi jana ilikua siku yangu nzuri sana na leo sasa nimeshaamka nimtafute kwenye NBA.. Weekend hii pekee nitakua nina fungu kubwa sana. Mimi huwa sina tamaa ya nani anashinda, mimi ni Over/Under pekee
 
Back
Top Bottom