Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

What comes around goes around.hizo njia zote ni kupunguza risk tu ya kutokuliwa.hii ni bahati na sibu na itabaki kuwa bahati na sibu hamna uhakika na kitu chochote.tunachangiana sisi wenyewe kuondoa matatizo,leo kwangu kesho kwako.kuna option rahisi kama za timu kupata goli moja yenye odd ya 1.02 hasa kwa timu kubwa dhidi ya dhaifu na bado ukala za uso asi score.kutuambia tusibetie kwa tamaa kwa vile umekula tambua hao washindi wanao piga kuanzia 15 million wali bet kwa tamaa na mwishowe vikatiki. No matter what kamari itabaki kuwa kamari
 
Man shitty kaniua kijinga
 
Attachments

  • 1423367188411.jpg
    1423367188411.jpg
    25.7 KB · Views: 195
Halftime/fultime
Mfano
Tottenham vs Arsrnal
1-1 hapa inamana tott ashinde mwanzo mwisho
2-2 hapa inamana Arsenal ashinde mwanzo mwisho
Sasa unaangalia mechi yenye odds nyingi kwenye hivyo vipengele viwil maana kuna zingine utakuta
1-1 ina odds ya 4.12
2-2 ina odds ya 7.26
Alafu unaangalia timu nyingine moja au mbili zenye odds za mbili mbili
Mfano
Villareal 2.14 win
Notts forest 2.12 win

Sasa hapo unaigawa hela uliyo nayo kama n 10000
Unaweka5000 kwa 1-1 totto
4.12*2.14*2.12=18.7 odds
5000*18.7=93458

Unaweka 5000 kwa 2-2 Arsenal

7.26*2.14*2.12=32.9 odds
5000*32.9=164685

Hapo unakuwa unauhakika wa kula kwa timu pande zote labda zitoe draw fanyen kubadilika lasivyo muhindi atawaua hiv hiv mnajiona😂😂😂😂😃😃😂😃😂😃😂😂😂
💶💶😋😋mimi napiga misimbaz tu😋😋😋
Hii ni kamari na mtu ukila leo unaweza kutumia hio formula ukapata ila kesho ikabuma. Chakufanya hapo ni mtu kuwa makini wakati wote.
 
Muhindi kanila Jana na juzi mwaka huu lazima anifilisi sijui Leo nimuotee vipi maana nimechoka kupigwa plz nipeni njia zakumpiga Leo
 
What comes around goes around.hizo njia zote ni kupunguza risk tu ya kutokuliwa.hii ni bahati na sibu na itabaki kuwa bahati na sibu hamna uhakika na kitu chochote.tunachangiana sisi wenyewe kuondoa matatizo,leo kwangu kesho kwako.kuna option rahisi kama za timu kupata goli moja yenye odd ya 1.02 hasa kwa timu kubwa dhidi ya dhaifu na bado ukala za uso asi score.kutuambia tusibetie kwa tamaa kwa vile umekula tambua hao washindi wanao piga kuanzia 15 million wali bet kwa tamaa na mwishowe vikatiki. No matter what kamari itabaki kuwa kamari

Umeongea point sana mkuu kushinda kwao Jana wasitegemee kushindi kila siku kwani naye muhindi mjinga ??? Asijue hizo mbinu za kumla? Daima na sema hii ni kamari so kuna kushinda na kuloose ni sawa mnapoingia kucheza uwanjani dk 90,hamna ajuaye atashinda nani,
 
umeonae....nimeliwa mikeka kama kumi ya takribani 20,000 na kula mikeka kama mitatu kiasi cha 476,000 na nilitumia 50,000 kubetia..nina faida kubwa hapo afu munasema hii ishu hailipi labda kwenu nyie munaobeti kwa tamaa ya kula mamilioni...mtasubiri sana...tumia akili zako zote unapoingia pale na usibeti kwa papara.....

Hii ni bahati nasibu mzee,shukuru kwa bahati uliyonayo tu hilo ndo la msingi.....!!chakushauriana hapa ni kucheza gg huku balance ikiwepo ya kuokoa mkeka ili pesa isiende yote ukiwa online kwa game moja tu.
 
Man u win 1.89
Barcelona win 1.31
PSG win 2.07
Newcastle win 2.15

@50000

Mchango wa mawazo plz.
 
wakuu naombeni kujua tofaut za kubet kwa m-bet na premier betting..
 
Hii ni bahati nasibu mzee,shukuru kwa bahati uliyonayo tu hilo ndo la msingi.....!!chakushauriana hapa ni kucheza gg huku balance ikiwepo ya kuokoa mkeka ili pesa isiende yote ukiwa online kwa game moja tu.

najua hilo na pia huwa mara nyingi naweka timu mbili au tatu za uhakika kwa mikeka mingi bila kurudia timu na kutupia pesa nyingi, ndo siri ya mafanikio kupata faida kuliko hasara....my take...wanaoliwa ni wengi kuliko wanaokula ndo maana Mzungu hatuwezi kumfilisi
 
Bhanaa wadau naomba mnisaidie hapa mana me sielewi vizuri, kwenye mbet, handcap unakuta iko hvi: liverpool vs (+1)bolton..
Msaada plz..
 
lamezia gg
karlsruher gg
burnley gg
augsburg gg
@50000
WAKUU MIMI LEO SIJAWEKA MKEKA KWA HIYO ATAKAEWEKA HUU MKEKA,ANISAIDIE HATA YA BIA 100% HUU MKEKA UNATIK
 
sporting cp gg
unam pumas 12 double chance
arouca 12
up langreo gg
 
Back
Top Bottom