Asante sanaWameshaweka mzigo mkuu...nenda shop
Sisi huku kwetu tangu asubuhi tumeshavuta mpunga.Wapigie mkuu msg hawajibu halafu hawa premier bet ni bora uwasiliane na customer care wa kiume wale wa kike hawajui kitu hovyo kabisa
Princess bet ama??Sisi huku kwetu tangu asubuhi tumeshavuta mpunga.
Ndio, ni princess betPrincess bet ama??
Mkuu safi sana premier mpaka sasa hawajaweka matokeoNdio, ni princess bet
Wameshaweka mkuuMkuu safi sana premier mpaka sasa hawajaweka matokeo
Poa poaWameshaweka mkuu
BET WONHELA HYO APO, KAMA UPO PREMIER WAHI, MECHI INAANZA DK 5 ZIJAZO
Kama mpo mliotumia hii bunduki najua mauaji yanaenda kukamilikatumia hii kwa afya yako
Niliitafuta sana kwenye premier sikuiona mkuuBET WON
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HII IMEAKAAJE WADAU
ULICHELEWA NILIWEKA KWENYE DAKIKA ZA MWISHO SNA..Niliitafuta sana kwenye premier sikuiona mkuu
Yah...ukisuka mwingine nitag kakaULICHELEWA NILIWEKA KWENYE DAKIKA ZA MWISHO SNA..
Check nshaweka wa saa 1 na nusu jioni, mi nimeweka za juu zaidi, ila ukiweka za kati utakuwa na nafasi kubwa sana ya kushindaYah...ukisuka mwingine nitag kaka