zakaria ramadhani
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 228
- 163
Halafu ni mara ya pili jana sema tu hua nachelewaga kuzitoa unakuta wanaziwahi.Ungetoa tuu. Mimi nshawah toa 20,000
Halafu ni mara ya pili jana sema tu hua nachelewaga kuzitoa unakuta wanaziwahi.Ungetoa tuu. Mimi nshawah toa 20,000
Hao vijana hawatabiriki chief, naona washavuruga!
Mkuu likizo imeisha??
Pole sanaaaaaa, ilishawahi nipiga mpaka nikawa naona maruweruwe.....ila mtaji muhimu ukitaka kucheza virtual maana kutafuta odd 2+ ni rahisiDhaaaaaaaa virtual mwisho leo
Kucheza yan imenifilis cna hata mia
***** na ilaani we tu
Aiseee acha tu unaipa timuPole sanaaaaaa, ilishawahi nipiga mpaka nikawa naona maruweruwe.....ila mtaji muhimu ukitaka kucheza virtual maana kutafuta odd 2+ ni rahisi
Mkuu hii Virtual ikoje? Kama uko vizuri nielekeze nipeleke sadaka wiki ijayoDhaaaaaaaa virtual mwisho leo
Kucheza yan imenifilis cna hata mia
***** na ilaani we tu