Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe huku ndio mnapojificha nifundishe kubet na mm
1d81b4a0bc0e757f0fa0d9861b053390.jpg


aff07e498480f748094d035763bd2a13.jpg


Hizi ni kazi za watu Shunie
 
Dhaaaaaaaa virtual mwisho leo
Kucheza yan imenifilis cna hata mia
***** na ilaani we tu

Kaka nafikiri ww hujaliwa, niulize mm tafadhari. Huo mchezo hapana aiseee ... nilipokuwa likizo ya wiki moja kuna siku nikasema niusome nijaribu kugundua loophole ...kikichonikuta mkuu sina hamu.

Virtual ya Princessbet iko vzr sn ... 2+ & 3+ za kutosha, lkn kwa kipigo nlichokipata huko sirudii tena. Bora twende taratibu kwa odds kati ya 2 hadi 5 ... na stake kati ya 30K - 100K
 
[11/11, 13:30] Btn Nigeria: *Booking*
5WKC57N

League One
*Scunthorpe Utd - Bristol Rovers*
Tip: 1X 1.28

League One
*Oxford Utd - Northampton Town*
Tip: 1X 1.21

League Two
*Crewe - Lincoln City*
tip: X2 1.25

League Two
*Cheltenham Town - Luton Town*
tip: X2 1.28

League Two
*Montrose - Annan Athletic*
1X 1.38
[11/11, 13:32] Btn Nigeria: 5WKDSYQ

League Two
*Clyde - Stirling Albion*
Aweh 1.60

League Two
*Cowdenbeath - Elgin City*
Aweh 1.56

League One
*Bradford City - Plymouth Argyle*
Hweh 1.30

League Two
*Swindon Town - Chesterfield*
Hweh 1.44

League One
*Queens Park - Arbroath*
Aweh 1.46
[11/11, 13:42] Btn Nigeria: INTL
*Denmark vs Republic of Ireland*
Tip: 1X

INTL
*New Zealand vs Peru*
Tip: X2

INTL
*Ivory Coast vs Morocco*
Tip: UNDER 3.5
[11/11, 13:43] Btn Nigeria: Northern Ireland
*Cliftonville vs Ballinamallard*
Tip: 1

International
*Spain vs Costa Rica*
Tip: 1

Germany Regionalliga
*Wacker Burghausen vs Munich 1860*
Tip: 2
[11/11, 13:45] Btn Nigeria: INTL
*Zambia vs Cameroon*
X


NAMWONA NAMWONAAAAAA NAMWOOOONAAAAAA ZAMBIAAAAAA MWISHONII SHIKAMOOOOOK
 
Kaka nafikiri ww hujaliwa, niulize mm tafadhari. Huo mchezo hapana aiseee ... nilipokuwa likizo ya wiki moja kuna siku nikasema niusome nijaribu kugundua loophole ...kikichonikuta mkuu sina hamu.

Virtual ya Princessbet iko vzr sn ... 2+ & 3+ za kutosha, lkn kwa kipigo nlichokipata huko sirudii tena. Bora twende taratibu kwa odds kati ya 2 hadi 5 ... na stake kati ya 30K - 100K
hahahaaha niliwah kukwbia angalia usije pasua kioo cha device unayotumia
 
Kubet ni kazi ngum sana, usipokuwa na roho ngum pressure itakuua, watu huwa tunaliwa sana lkn tunaugulia kimyakimya tu, najuta kuufaham huu mchezo ila ni ngum sna kuuacha. Ni kama Unga
 
hahahaaha niliwah kukwbia angalia usije pasua kioo cha device unayotumia

[emoji28] [emoji28] [emoji28] huo mchezo unakupa matumaini unaweza kula hata mara 4 mfululizo, sasa subiri shughuli itakayofuata baada ya hapo.
 
Back
Top Bottom