Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Buddy timu za Austria za kipumbavu sana tena haswa hizi league za chini. Wamenizamisha 70k leo. Sasa nipo hapa na ndovu zangu sina mda. Nasubiri tu league za msingi zianze. Katika hali ya kupooza machungu

IMG_3458.jpg
 
Virtual mi naicheza kila usiku
Hadi nishasahau kuhusu mambo ya dakika 90
Tatizo la virtual wakiona tu account ina hela
Wanakuletea Brazil na Japan odds 1.25 unaweka mzigo wote unabebwa

Ila ukiwa na laki unaweza lala na laki ndani ya nusu saa
Pia unaweza mtukana mhindi na timu husika
Maana anything can happen in a second


Hahaah ... mm kwa level nliyofikia siwezi shawishika na Virtual tena. Yani Never !!
 
Buddy timu za Austria za kipumbavu sana tena haswa hizi league za chini. Wamenizamisha 70k leo. Sasa nipo hapa na ndovu zangu sina mda. Nasubiri tu league za msingi zianze. Katika hali ya kupooza machungu



Mkuu hizi International breaks huwa zinaniboa kiukweli ... wachezaji wakirudi ndo unakuta Barca anapigwa na Getafe.
Halafu huna uhakika km hizo timu zinazoendelea na ligi zao km zina wachezaji regular. Kwa mfano Austria, German Regional Liga, England Nationa League etc
 
Umepoteza 300k
Mi nilipoteza 500k siku moja I'll sikuacha


Aaah ww level za stake 4m ... [emoji1430], mm level za stake 5K - 500K, lazima tutofautiane. 500K nliwahi weka mara 2 tu toka naanza kubet (about 3yrs ago).
 
Sikuweka yote kwa mara moja
Ila zilienda ndani ya nusu saa hivi ikawa zero

Ila mdogo mdogo nazirudisha afu nimeacha zle tamaa hivyo naweza cheza Mara moja kwa siku nikalala



Safi chief ...
 
Maana hawa watu wanacheza na akili zetu kuwa akiliwa lazma atataka arudishe na hapo ndio twakosea na kuliwa sana
Ukiwa na laki yako ukawa watafuta mechi 1 yenye faida ya 25 au 18 kila saa moja kea masaa 6 tu kwa siku una 150hivi
Chief hizo ndio njia zangu, zile za odds 20 hapana aisee napigwa mno na hapo unaongelea odds kati ya 1.18-1.25
 
kwa wale wa odds chache Spain dhidi ya Costa rica first half 0.5 cards kapewa odds 1.50 twende sawa
 
Hivi GSB wamefunga kampuni yao au vipi...week ya tatu nashindwa kudeposit na mm ndiyo nilishahamua ndiyo corporate company kwangu kwa kuweka mikeka sababu ya wingi wa option..anybody with a clue of what is going there...kuna mtu anaweza deposit GSB kwa sasa ktk week 3 hizi?
 
Nenda Premier chukua half with most goals weka second half...Utapata odd 4+ kwa mechi 2 weka stake yako... andaa mikeka ya hivi hata 10 usirudie team.. kati ya mikeka kumi hukosi 7-8 nimeifanyia hii mbinu majaribio inalipa haiitaji kuumiza kichwa sana.. Mechi nyingi zinakuwa na magoli mengi kipindi cha pili... haswa angalia zile ambazo team hazitofautiani sana uwezo.. Hata nikikosa hii ndo njia sahihi kwangu nimefanya kila option ila sijawai kuafanikiwa kama hii. Mkeka 1 mechi 2 tu usizidishe
 
Hivi GSB wamefunga kampuni yao au vipi...week ya tatu nashindwa kudeposit na mm ndiyo nilishahamua ndiyo corporate company kwangu kwa kuweka mikeka sababu ya wingi wa option..anybody with a clue of what is going there...kuna mtu anaweza deposit GSB kwa sasa ktk week 3 hizi?
Km Vp hama nlwaulzaga walisema wanarekbsha ila itachukua mda
 
Back
Top Bottom