Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

leo nilikuwa likizo, kesho naanza kazi twendeni tukaombe goli 2 au 3 Seria B na Seria C ya Italy zinatoa sana magoli...usiku mwema lads
 
Hivi GSB wamefunga kampuni yao au vipi...week ya tatu nashindwa kudeposit na mm ndiyo nilishahamua ndiyo corporate company kwangu kwa kuweka mikeka sababu ya wingi wa option..anybody with a clue of what is going there...kuna mtu anaweza deposit GSB kwa sasa ktk week 3 hizi?
Kampuni za vichochoroni hizo
 
Hivi GSB wamefunga kampuni yao au vipi...week ya tatu nashindwa kudeposit na mm ndiyo nilishahamua ndiyo corporate company kwangu kwa kuweka mikeka sababu ya wingi wa option..anybody with a clue of what is going there...kuna mtu anaweza deposit GSB kwa sasa ktk week 3 hizi?
Wanasema wapo kwenye matengenezo
 
baada ya kuchezea kichapo kwenye football
Screenshot (224)_LI.jpg


ICE HOCKEY ilinifuta machozi
Screenshot (223)_LI.jpg
Screenshot (222)_LI.jpg
 
6f5855c07b59b710a776057d18930e80.jpg

Huyu KANJI atakuwa mchawi bila shaka. Ukimjaribu kwa stake ndogo unamla. Weka stake kubwa sasa uone maajabu!!!

Yaani ukiweka stake kubwa hata kama ni game ya BRAZIL vs COMMORO unapoteza bwana!!!
 
Back
Top Bottom