nafeel hiyo hali yako now, tutashinda tu one dayMiguu imekosa nguvu yan
Hata cjui natembeaje jmn
Huyu kanji co wa mchezo
Mkuu kule kuna timu zinazotoa 2+ na kuna timu zisizotoa usifikiri kuipa 2+ England ama Spain huwa hazifungi magoli kamweAiseee acha tu unaipa timu
Itoe 2+ na inatoka 0:0
Aiseee hapo ndo nachoka
nakuona n biashara kwakweli
Hivi upoonafeel hiyo hali yako now, tutashinda tu one day
Kumbe huku ndio mnapojificha nifundishe kubet na mmMiguu imekosa nguvu yan
Hata cjui natembeaje jmn
Huyu kanji co wa mchezo
Mmmh tulikuwa kule kwa washenzi nashangaa kukuta na huku maajabu sijawahi kukuona huku kubeti tuachie sisi mama utaumia bure sisi tushazoeaKumbe huku ndio mnapojificha nifundishe kubet na mm
Utachukia wahindi bure kubet ni kazi ngumu kuliko zote.Kumbe huku ndio mnapojificha nifundishe kubet na mm
hahahaha acha kabisa hii kaziKumbe huku ndio mnapojificha nifundishe kubet na mm
Mkuu hii Virtual ikoje? Kama uko vizuri nielekeze nipeleke sadaka wiki ijayo
Mkuu acha tu uliwah kuskia mUmivu yanafeel hiyo hali yako now, tutashinda tu one day
Mkuu mm natumia wakenya makampuny yaMkuu kule kuna timu zinazotoa 2+ na kuna timu zisizotoa usifikiri kuipa 2+ England ama Spain huwa hazifungi magoli kamwe
Shunie embu npe tu Pole kwanzaKumbe huku ndio mnapojificha nifundishe kubet na mm
Haa haa haa aiseee Bora umpeMmmh tulikuwa kule kwa washenzi nashangaa kukuta na huku maajabu sijawahi kukuona huku kubeti tuachie sisi mama utaumia bure sisi tushazoea
Ahahah kwahiyo umeamua kujichimbia huku ligi ipi sasa epl auahaaha Shuniiiii....nipo, nipo sanaaa
nipo huku sikuiz
hahahaha acha kabisa hii kazi
hivi ukiacha Manchester timu gani nyingine unazozijua
Ahahha huku sijawahi kabisa kuingia yaan nimesema tu ebu nichungulie nakuta watu wanaliaMmmh tulikuwa kule kwa washenzi nashangaa kukuta na huku maajabu sijawahi kukuona huku kubeti tuachie sisi mama utaumia bure sisi tushazoea
Nifundisheni jamanUtachukia wahindi bure kubet ni kazi ngumu kuliko zote.
Ahahahha ebu niambie kwanza umeliwa sh ngapiii hivi nilivyo mchumi mm nikiliwa kama ww si nitakufwaShunie embu npe tu Pole kwanza
Walau nipate power ya kufka home
Naahid kurud mmu kuanzia leo
Kwakweli kamar naacha kabsa
[emoji115] on jaman af kesho n Sunday
Mkuu mm natumia haya makampuny ya Kenya
Na hii ndo hua natumia Sasa walichonifanya
Leo cna hata ham nao maana
Nmekishwaaaa piii
Sasa leo cku na job nkajikita huku
Nkasema ngoja nijitaftie ya sku
Heeeee wamenilamba 9000ksh
Zidisha mara 21= 179000tsh
Kwakweli magot yameisha
Nguvu joint hazfanyikaz dhaaa!!!
Ahahahha ebu niambie kwanza umeliwa sh ngapiii hivi nilivyo mchumi mm nikiliwa kama ww si nitakufwa
Weee Sasa tukilia woteNifundisheni jaman
Yaan hapo umenivuruga ujue hizi mambo acha niwaaachie wenyewe acha niendelee kucheza biko tu[emoji115] on jaman af kesho n Sunday
Yan cjawah kuwa na sku mbaya kama
Leo.
Nikopeshe hata buku jamen[emoji85] [emoji85]