Kampuni za vichochoroni hizoHivi GSB wamefunga kampuni yao au vipi...week ya tatu nashindwa kudeposit na mm ndiyo nilishahamua ndiyo corporate company kwangu kwa kuweka mikeka sababu ya wingi wa option..anybody with a clue of what is going there...kuna mtu anaweza deposit GSB kwa sasa ktk week 3 hizi?
Wanasema wapo kwenye matengenezoHivi GSB wamefunga kampuni yao au vipi...week ya tatu nashindwa kudeposit na mm ndiyo nilishahamua ndiyo corporate company kwangu kwa kuweka mikeka sababu ya wingi wa option..anybody with a clue of what is going there...kuna mtu anaweza deposit GSB kwa sasa ktk week 3 hizi?
Hiv wakuu under 1.5 katka first half ndo goli 0- 2 siyo?
ni kuanzia 0-1Hiv wakuu under 1.5 katka first half ndo goli 0- 2 siyo?
Na over 1.5?Hapana mkuu! Under 1.5 1st Half yapatikane magoli 0 au 1.
Na over 1.5?
Na over/ under 2.5?Magoli mawili kuendelea.
3+ gols overNa over/ under 2.5?
under 1.5 = goli 2 kushuka chini zisizidiNa over/ under 2.5?
under 1.5-(goli kuanzia 0-1)under 1.5 = goli 2 kushuka chini zisizidi
over 1.5 = goli kuanzia goli 2 zisipungue
to be corrected
Na over/under 2.5?under 1.5-(goli kuanzia 0-1)
over1.5-(goli kuanzia 2-100000000)
Over 2.5 means kuanzia goli 3 na kuendeleaNa over/under 2.5?