Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

So under/over 1.5 inatumika tu katika first half na 2.5 ktk dk 90 siyo? Au zinatumika kotekote?
Znatumika kotekote inategemea na
Utakavochagua ww Ila kama unatumia
Sport pesa Ujue hao wana 1.5 under over
Kwa half time tu hawana ya dk 90

Wao wana dk 90 ya 3+ ambayo n 2.5
 
Znatumika kotekote inategemea na
Utakavochagua ww Ila kama unatumia
Sport pesa Ujue hao wana 1.5 under over
Kwa half time tu hawana ya dk 90

Wao wana dk 90 ya 3+ ambayo n 2.5
Asante, me natumia sportpesa mkuu
 
Tips za Leo (3+ odds)
1. Fredrikstad vs Notodden Over 2.5
2. Switzerland vs Northern Ireland 1
3. Greece vs Croatia Under 2.5
 
Leo nimetoka hivi. Uganda w/d. Tanzania nimempa magoli 2 ashinde then inakuja odd 2.2 nkatia amana yangu
 
Tips za leo
Altona 98 vs st. Pauli over 1.5
Oldenburg vs TSV Havelse over 1.5

Odd 1.4. Weka dau kubwa hapo
 
Hiyo almanusura yako kiboko red zote hizo ha ha ha
Hahahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mm nimecheka kinoma inaonekana mkuu anachezeaga red zote leo alhamdulillah kapata vikijani viwili vitatu kashukuru[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mamaee kanji lazima atupe uchizi NI HATARI LAKINI SALAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…