asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,669
- 1,418
Natakiwa kulipia kabla ya dakika ya ngapi mwishoni ??
live unacheza hata kama ni dakika ya 89Natakiwa kulipia kabla ya dakika ya ngapi mwishoni ??
won! won! won! won! won! won! won!Ice hockey total number of odds 33
sasa kama futbol imetushinda tufanye nini wacha tujaribu na haya makorokocho ya huku
View attachment 629422
won! won! won! won! won! won! won!View attachment 629807
hao ndugu ninao subiri muhindi a update, second oeriod wakawa wamesha maliza mchezo
View attachment 629810
kuna mtu alileta mkeka wake humu kwa kusema kuwa amefutwa machozi na hockey naomba uni pm namba yako kwasababu wewe ndio umenihamasisha kucheza haya makorokocho
300,000/ kibindoni
kesho unicheki pm na namba yako ya simu kama hutojalibaada ya kuchezea kichapo kwenye football View attachment 629159
ICE HOCKEY ilinifuta machozi
View attachment 629160 View attachment 629161
mkuu yamevuka malengo ya mileniaMkuu ice hockey usiiamini kwa over 4.5,, GG kwa ice hockey ndio iko poa
mkuu! suijui vizuri ila kwa hrakaharaka nilivyofuatilia unachezwa kwa period 3 kila kipindi dakika 20 na kila baada ya dakika 20 kunakuwa na break. option rahisi ni ya timu zifungane ambayo mdau kaisema hapo juu ila odds zake ni ndogo mnoUnachezwaje aisee
Hongera sana kiongozi, maana hockey ov 4.5 huwa haitabiriki, lakini mwisho wa siku hakuna linaloshindikana chini ya juamkuu yamevuka malengo ya mileniaView attachment 629832
ngoja kesho nitafute odd 6 niweke 50000 nimegundua akina neymar, christiano, lukaku, bakayoko,aguero,ozili,jesus wanatufilisi tu
Naona rasmi makazi na majeshi yanahamishwa huku. Pesa IPO huku ila inahitaji ueledi wa hali ya juu mno kuyajua haya mambo.nitakucheki PM mkuu unifunde kiduchu haya masuala.mkuu yamevuka malengo ya mileniaView attachment 629832
ngoja kesho nitafute odd 6 niweke 50000 nimegundua akina neymar, christiano, lukaku, bakayoko,aguero,ozili,jesus wanatufilisi tu
sawa sawa mkuu haina noma [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]kesho unicheki pm na namba yako ya simu kama hutojali
mkuu hiyo picha mbona ni kama ya watu wasio jukikana!Naona rasmi makazi na majeshi yanahamishwa huku. Pesa IPO huku ila inahitaji ueledi wa hali ya juu mno kuyajua haya mambo.nitakucheki PM mkuu unifunde kiduchu haya masuala.
Bet LostWakuu, Odds 18+ hizo hapo chukua yeyote utakayoona inafaa (hata zote ikibidi) changanya na ulizopata kisha Tumjaribu Kanji!
Hongera Mkuuwon! won! won! won! won! won! won!View attachment 629807
hao ndugu ninao subiri muhindi a update, second oeriod wakawa wamesha maliza mchezo
View attachment 629810
kuna mtu alileta mkeka wake humu kwa kusema kuwa amefutwa machozi na hockey naomba uni pm namba yako kwasababu wewe ndio umenihamasisha kucheza haya makorokocho
300,000/ kibindoni
Hongera mkuuwon! won! won! won! won! won! won!View attachment 629807
hao ndugu ninao subiri muhindi a update, second oeriod wakawa wamesha maliza mchezo
View attachment 629810
kuna mtu alileta mkeka wake humu kwa kusema kuwa amefutwa machozi na hockey naomba uni pm namba yako kwasababu wewe ndio umenihamasisha kucheza haya makorokocho
300,000/ kibindoni
Hongera saaaana ndugu..won! won! won! won! won! won! won!View attachment 629807
hao ndugu ninao subiri muhindi a update, second oeriod wakawa wamesha maliza mchezo
View attachment 629810
kuna mtu alileta mkeka wake humu kwa kusema kuwa amefutwa machozi na hockey naomba uni pm namba yako kwasababu wewe ndio umenihamasisha kucheza haya makorokocho
300,000/ kibindoni
Umeanza tamaa ya Odds[emoji2]Anaheim Ducks - Tampa Bay Lightning
Tampa Bay Lightning
2.16
Turkey - Albania
Handicap 0:1 Turkey
2.75
Bulgaria - Saudi Arabia
Bulgaria
2.12
Vendsyssel FF - Thisted FC
Half With Most Goals 2nd half
2.11
Al Gharafa SC - Al Kharaityat SC
Half With Most Goals 2nd half
2.08
Combination Odds 55
Odds kubwa huwa nazitafuta ila huwa sizibandiki hapa mfano jana nilikuwa na odds 42 kwa stake ya 5000 na mkeka umetiki kwa option ya half with most goalsUmeanza tamaa ya Odds[emoji2]
Kweli football ina changamoto, ila tennis na basketball hulali njaaHongera saaaana ndugu..
Soccer ngumu sana Kumpga kanji...bora tujifunze michezo mingine tu...