Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ice hockey total number of odds 33
sasa kama futbol imetushinda tufanye nini wacha tujaribu na haya makorokocho ya huku
View attachment 629422
won! won! won! won! won! won! won!
hao ndugu ninao subiri muhindi a update, second oeriod wakawa wamesha maliza mchezo

kuna mtu alileta mkeka wake humu kwa kusema kuwa amefutwa machozi na hockey naomba uni pm namba yako kwasababu wewe ndio umenihamasisha kucheza haya makorokocho
300,000/ kibindoni
 
Unachezwaje aisee

 
Unachezwaje aisee
mkuu! suijui vizuri ila kwa hrakaharaka nilivyofuatilia unachezwa kwa period 3 kila kipindi dakika 20 na kila baada ya dakika 20 kunakuwa na break. option rahisi ni ya timu zifungane ambayo mdau kaisema hapo juu ila odds zake ni ndogo mno

over 4.5 odd zake ndo kama hivyo hapo juu na ili kupaata kama hivyo wewe angalia tu timu zenye odd ya 1.41,1.42.n.k kwa option ya over 5.5 halafu wewe zipatie over 4.5. weka mpunga nenda nje ukavute sigara.
 
mkuu yamevuka malengo ya mileniaView attachment 629832
ngoja kesho nitafute odd 6 niweke 50000 nimegundua akina neymar, christiano, lukaku, bakayoko,aguero,ozili,jesus wanatufilisi tu
Hongera sana kiongozi, maana hockey ov 4.5 huwa haitabiriki, lakini mwisho wa siku hakuna linaloshindikana chini ya jua
 
mkuu yamevuka malengo ya mileniaView attachment 629832
ngoja kesho nitafute odd 6 niweke 50000 nimegundua akina neymar, christiano, lukaku, bakayoko,aguero,ozili,jesus wanatufilisi tu
Naona rasmi makazi na majeshi yanahamishwa huku. Pesa IPO huku ila inahitaji ueledi wa hali ya juu mno kuyajua haya mambo.nitakucheki PM mkuu unifunde kiduchu haya masuala.
 
Naona rasmi makazi na majeshi yanahamishwa huku. Pesa IPO huku ila inahitaji ueledi wa hali ya juu mno kuyajua haya mambo.nitakucheki PM mkuu unifunde kiduchu haya masuala.
mkuu hiyo picha mbona ni kama ya watu wasio jukikana!
 
Hongera Mkuu
 
Hongera mkuu
 
Hongera saaaana ndugu..
Soccer ngumu sana Kumpga kanji...bora tujifunze michezo mingine tu...
 
Anaheim Ducks - Tampa Bay Lightning
Tampa Bay Lightning
2.16

Turkey - Albania
Handicap 0:1 Turkey
2.75

Bulgaria - Saudi Arabia
Bulgaria
2.12

Vendsyssel FF - Thisted FC
Half With Most Goals 2nd half
2.11

Al Gharafa SC - Al Kharaityat SC
Half With Most Goals 2nd half
2.08

Combination Odds 55
 
Umeanza tamaa ya Odds[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…