Ni kweli chief.yaah well said..naona ice hockey kama huna tamaa ya odds unaweza kumpiga vizuri kwa odds 2 kila mkeka..
Odds 28K au mi sijui kusoma?! Chief unakanyota katamu ila kwa nn kwa siku usimtafute kwa odds chache tu stake sio lazima uanze nayo kubwa, bora 500 upige 900 au 1k cheza hata x3 per day hukosi 3k-4kNamtafuta kila kona
View attachment 631595
Uwe unatupia hapa kabla ili wenye odd chache tupitiemoNamtafuta kila kona
View attachment 631595
150*00#, Select 4 for Payment, then select 4 and enter Business number 262222, enter reference number XXXXXX and enter the amount.vp wadau.. nimependa hiyo hockey sana.
sasa mnisaidie namna ya kudeposit pesa princess bet kupitia m pesa
Hata mm huwa siielewi wanamaana ganiWazeya, kuna kitu sikielewi kwenye Meridian bet...
Option ziko mbili mbili zinazofanana tofauti yake ni odds...
Hii imekaaje? Kwenye hii picha niliyo attach angalia apo kwenye total goals