2jabway
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,257
- 1,398
Mkuu we tupia tu hahahaNgoja nikufuate na 10K, just to try this game maana naona mmeupa promo sana of recent. Ila ndo sijui chochote, mi nazitafuta na kuweka km zilivyo ... naweza kujikuta napata hela ya vocha hapa.
mkuu Vp Group la BettingMkuu ninataka hata watu kumi kila mmoja alete timu 5 ambazo anaamini piga uwa zinaweza kuwa upande wake tuweke over 1.5 goal tu (hata kama tunachanganya football na michezo mingine ila kila mmoja achimbe timu 5 ambazo anajua haitakuwa rahisi kumwangusha)
Hapana sina nataka tujadili hapa wote ili wote wapatemkuu Vp Group la Betting
Mi mnipe kwenye ice hockey tu maan mpira ushanivuruga sina bahat nao nikiweka over 1.5 michezaji full kukata viuno kwa uwanja wanatoa under 1.5Mkuu ninataka hata watu kumi kila mmoja alete timu 5 ambazo anaamini piga uwa zinaweza kuwa upande wake tuweke over 1.5 goal tu (hata kama tunachanganya football na michezo mingine ila kila mmoja achimbe timu 5 ambazo anajua haitakuwa rahisi kumwangusha)
Mkuu we tupia tu hahaha
Sawa mkuu itakuwa safi sana kama tukipata watu wa aina tatu Hockey, Football na Basketball hakika kam tutakuwa makini najua kuna mtu hii wiki atakufa.Mi mnipe kwenye ice hockey tu maan mpira ushanivuruga sina bahat nao nikiweka over 1.5 michezaji full kukata viuno kwa uwanja wanatoa under 1.5
Huu mchezo mi leo siku ya tatu angalao nimeanza kuona ka mwanga aisee hahaha utaujua tu mkuu maan tumetangaz vit na mla pilipili hyuHahahah ... yani natupia tu, nitakuja kujua mbele ya safari.
Haswaa mkuu nondo ziletwe hapahapa jukwaani people wachambueSawa mkuu itakuwa safi sana kama tukipata watu wa aina tatu Hockey, Football na Basketball hakika kam tutakuwa makini najua kuna mtu hii wiki atakufa.
Nasubiri kwa wataalamu wa kila mchezo waje hapa tujadili kuhusu hili kwa atakaye ona ni vyema aseme au aweke timu 5 ambazo anajua haitakuwa rahisi kumwangusha.Haswaa mkuu nondo ziletwe hapahapa jukwaani people wachambue
Huwa ninapata Zaidi ya Odds 1000 ila zinavurugwa na timu chache sana, Kama uko vizuri hebu tusaidiane kama utapenda lakini.
Kama una timu 5 unazoamini ukizipa over 1.5 zitatoa weka hapa tuunde mkekaTuko pamoja mkuu,
mkuu huko huwa sichambui najiwekea tu naangalia odds ndogo hahahhahaMr Q na wakuu ndungu zanguni mwenye ushauri hapo nimtoe nani maan nahitai odd 3 tu hapo zipo 5.37 princebet maan natak niweke nyumba ya jiran hap ndo stake yangu ya leo kwa ice hockey
Mkuu Raphael kma upo hum msaada hapo aisee
Sawa mkuu ngja nitembee nazo liwalo na liwe tumkuu huko huwa sichambui najiwekea tu naangalia odds ndogo hahahhaha
Hivi kumbe badogo kuna Forex Trading? Nishafuta account zao zote.Hivi kumbe badogo tu mnabetigi.... Mmmmhhh....
Mwenzenu tangu nizamie kwenye Forex Trading, habari za kubeti sitaki tena kuzisikia..
Nisha uninstall ma app yoote ya betting kwenye simu yangu...
M bet nilikua na sh.750/= nishawaambia waichukue tu hiyo balance.
Account yangu ya Premier Bet niliwaambia waifunge kabisa, sijui washafanya hivo.
unanishawishi nikaweke mzigo..!leo usiku kuna mechi kama 18 hivi 12 Za marekani NHL na 6 ni za Canada OHL
kesho tunaweza amka na furaha
Yaani leo ukichukua zako nne tu ukatia mzigo unaamka mzito aiseeleo usiku kuna mechi kama 18 hivi 12 Za marekani NHL na 6 ni za Canada OHL
kesho tunaweza amka na furaha