Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi kumbe badogo tu mnabetigi.... Mmmmhhh....
Mwenzenu tangu nizamie kwenye Forex Trading, habari za kubeti sitaki tena kuzisikia..
Nisha uninstall ma app yoote ya betting kwenye simu yangu...

M bet nilikua na sh.750/= nishawaambia waichukue tu hiyo balance.
Account yangu ya Premier Bet niliwaambia waifunge kabisa, sijui washafanya hivo.
Hii inshu naisikia sikia ila siijui vzr inahusiana na nn
hahahaha dah wacha nikaweke li msimbazi
 
Odds 28K au mi sijui kusoma?! Chief unakanyota katamu ila kwa nn kwa siku usimtafute kwa odds chache tu stake sio lazima uanze nayo kubwa, bora 500 upige 900 au 1k cheza hata x3 per day hukosi 3k-4k
sawa mkuu..nimekusoma..
 
upload_2017-11-16_19-42-15.png
 
Duu mi nilitoaga kwa njia ya vocha bahati mbaya princess tokea tarehe 1 October mpaka Leo bado hawarudisha [emoji35]
Labda hujawafuatilia mkuu mi niliwahi kosea hvyohvyo nikatoa kwa voucher niliwasumbua kma siku tatu ya nne wakanipigia simu wenyewe kuwa tayari washairudisha na mda huohuo ikarudi kwa cm so endelea kuwafuatilia watairudisha tu maan customer care yao anagalao wanajitambua
 
Naona mzee mwenzangu, vijana wamekushawishi kwenye hockey...huku kwa odds zetu zile chache si mbaya..kati ya mikeka kumi unaweza kuchana 2 ikizidi sana 3
Kabisa mkuu,,,odd 2 kupata sio shida kabisa
 
Mr wise tupia mapema hiyo mikeka maana ss wengine upepo umepotea
Esbjerg Energy - Copenhagen Hockey
Over 1.5 goals (first period)
1.78

Storhamar Dragons - Lorenskog IK
Over 1.5 goals (first period)
1.76

odds 3.13...
 
Back
Top Bottom