Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

489e3d6e6a3d700857cc1e625812b168.jpg


Kuna Odds kama 4... Hapo nataka kuweka buku 10000 nilale.
 
Labda hujawafuatilia mkuu mi niliwahi kosea hvyohvyo nikatoa kwa voucher niliwasumbua kma siku tatu ya nne wakanipigia simu wenyewe kuwa tayari washairudisha na mda huohuo ikarudi kwa cm so endelea kuwafuatilia watairudisha tu maan customer care yao anagalao wanajitambua
Nimewasumbua sana hadi nimechoka
769dd77f4654acf5e0735457e061891d.jpg
 
Hivi kumbe badogo tu mnabetigi.... Mmmmhhh....
Mwenzenu tangu nizamie kwenye Forex Trading, habari za kubeti sitaki tena kuzisikia..
Nisha uninstall ma app yoote ya betting kwenye simu yangu...

M bet nilikua na sh.750/= nishawaambia waichukue tu hiyo balance.
Account yangu ya Premier Bet niliwaambia waifunge kabisa, sijui washafanya hivo.
Kama umeacha uku umeingia kutafuta nn mkuu?
 
gsb.PNG

GSB nimewachoka kila siku eti oooh Dear pesa yako itarudi soon, eti mwezi wa pili saivi wanasema SOON SOON SOON, nikawaswalika SOON mnajua maana yake, Waka-left chat..balaa
 
weka mzigo wa kutosha sasa hivi kisha lala asubuhi unaamka na kicheko.
hock.png
 
View attachment 631874
GSB nimewachoka kila siku eti oooh Dear pesa yako itarudi soon, eti mwezi wa pili saivi wanasema SOON SOON SOON, nikawaswalika SOON mnajua maana yake, Waka-left chat..balaa
Walivyokuwa waduanzi wanakuita Dear pambaafu Dear mbele ya pesa waambie wakurudishie pesa yako mkuu wasilete udear hapa kanji hana issue za Dear
 
odds 20

Tampa Bay Lightning - Dallas
Stars
Tampa Bay
Lightning
2.00

San Jose Sharks - Florida
Panthers
San Jose Sharks
2.00

Winnipeg Jets - Philadelphia
Flyers
Winnipeg Jets
2.29

Phoenix Suns - Houston
Rockets
Over 222.5 points
1.50

Boston Celtics - Golden State
Warriors
Over 210.5 points
1.47
 
Back
Top Bottom