fahadahmed
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 109
- 23
Ata Hii ya suns na rocket Iko Poa sanaGame ya boston ilikuwa wazi kabisa wakuu yaani ndio ilkuwa game ya kumliza mhindi game ya under na boston ashinde
Yeah mkuu hapo unaongeza akili kidgo muhind analiwaAta Hii ya suns na rocket Iko Poa sana
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Nishamla Q1&2Yeah mkuu hapo unaongeza akili kidgo muhind analiwa
Safi mkuu
Nishapata pesa ya supuSafi mkuu
Nikupe za basketNaombeni odd hata 3 leo
Ndio naomba mkuuNikupe za basket
Nakungoja babaNikupe za basket
Sawa mkuuNdio naomba mkuu
Iyo ligi premierbet huwa siioni na nimejikuta jana iyo Hockey imenipiga za uso balaa, I'm going back to my root---FOOTBALLDaaa leo Toronto umekuwa kibarak wa khanji hahaha but deal done kwa wengine
Pesa gani hiyo mdau mbnaa sio kawaida yao kukaa na hela muda mrefu hivoKampuni za bongo asilimia kubwa ni pasua kichwa mm princess bet imeshapita zaidi ya mwezi mmoja na nusu hawajanirudishia hela yangu
Hahaha pole sana mkuu ligu nzuri ninayoiona ni ya canada ila hawa wengine siwaelewi elewi aiseeIyo ligi premierbet huwa siioni na nimejikuta jana iyo Hockey imenipiga za uso balaa, I'm going back to my root---FOOTBALL