Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaa leo Toronto umekuwa kibarak wa khanji hahaha but deal done kwa wengine
 
Pale muhindi anapokufunga bao la mkono katika mda wa nyongeza niljshaipangia niongeze ka boxer kesho nikaweke barabarani Anja[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] daaaaaaaah
e1374a054d8a46dc59a7e1c1394301b9.jpg
Hahaha pole sana mkuu ila ndo hvyo unavyopanga vile mla pilipili kumb anakunyapiapia tu nae
 
Hivi kumbe badogo tu mnabetigi.... Mmmmhhh....
Mwenzenu tangu nizamie kwenye Forex Trading, habari za kubeti sitaki tena kuzisikia..
Nisha uninstall ma app yoote ya betting kwenye simu yangu...

M bet nilikua na sh.750/= nishawaambia waichukue tu hiyo balance.
Account yangu ya Premier Bet niliwaambia waifunge kabisa, sijui washafanya hivo.
Acha Ujinga
 
odds 20

Tampa Bay Lightning - Dallas
Stars
Tampa Bay
Lightning
2.00

San Jose Sharks - Florida
Panthers
San Jose Sharks
2.00

Winnipeg Jets - Philadelphia
Flyers
Winnipeg Jets
2.29

Phoenix Suns - Houston
Rockets
Over 222.5 points
1.50

Boston Celtics - Golden State
Warriors
Over 210.5 points
1.47
Bet lose
 
My inner instincts ziliniambia kabisa Celtics anashinda lakini ndio vile tena
Wewe acha tu mkuu nilipanga nimpe Boston na Tampabay ilikuwa ni odds 7 ili niweke 20k nipate 140k lakini huyu mla pilipili sijui huwa anatupumbaza kwa madawa gani nikaamua nitafute odds 20 niweke 5k NIMETANDIKWA huyu mtu kanishinda.
 
Mkuu hujiamni ndio maana siku zote wazo la kwanza ndio linakuwaga bora ukibadili tu unaliwa ubaya wa leo sikuwa na hela yaani mhindi angelia
 
Mkuu hujiamni ndio maana siku zote wazo la kwanza ndio linakuwaga bora ukibadili tu unaliwa ubaya wa leo sikuwa na hela yaani mhindi angelia
Namngoja kesho tena, nitabeti kwa umakini mkubwa sana.
 
Kaangalie matokeo huko mhindi ana bahati sana wiki iliyopita nilitengeza 300k kwa 46k wiki hii majukumu kidogo na pesa nilishatoa
 
Attachments

  • Screenshot_2017-11-17-07-30-23.png
    Screenshot_2017-11-17-07-30-23.png
    13.3 KB · Views: 55
  • Screenshot_2017-11-17-07-29-42.png
    Screenshot_2017-11-17-07-29-42.png
    13.5 KB · Views: 57
Game ya boston ilikuwa wazi kabisa wakuu yaani ndio ilkuwa game ya kumliza mhindi game ya under na boston ashinde
 
Back
Top Bottom