2jabway
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,257
- 1,398
Duuuu option gan ulikuwa umeweka aisee ukija kulitupia tena unitag mkuu ili nijichambulie chache niwek nyumba ya jiraniKaondoka nalo na timu 3 odds zilikuwa 3000 ana bahati sana.
Duuuu option gan ulikuwa umeweka aisee ukija kulitupia tena unitag mkuu ili nijichambulie chache niwek nyumba ya jiraniKaondoka nalo na timu 3 odds zilikuwa 3000 ana bahati sana.
Usijali mkuu niliweka over 4 mkuu timu kama 18 hivi ila 3 zimeleta ujinga nilitest kwa 1000Duuuu option gan ulikuwa umeweka aisee ukija kulitupia tena unitag mkuu ili nijichambulie chache niwek nyumba ya jirani
mimi badoJana kulikuwa na tatizo la Kudeposti kwenye kampuni ya Premierbet kwangu mimi tangu jana pesa hajaingia kwenye akaunti kuna mtu ambaye tatizo lake lilitatuliwa jana? Kama yupo naomba anipe mbinu aliyotumia hadi wakaweka pesa kwenye akaunti.
Duuu pole san kiongoz ila ipo siku yake tu huyu mla pilipiliUsijali mkuu niliweka over 4 mkuu timu kama 18 hivi ila 3 zimeleta ujinga nilitest kwa 1000
Aisee nilidhani ni mimi pekee yangumimi bado
Duuu pole san kiongoz ila ipo siku yake tu huyu mla pilipili
Diuuu aiseee mi hapo ninge edit tu odd zangu tano bhasiii daa una upepo mzuri chief one day Yes mi nakuombea tu
Mwenendo wa kwenye mabarafu ulikuwa unaenda hivyo kuna Timu hadi sasa zinaendelea kucheza ila matokeo yao yako vizuri ila hizo 3 zimenikosesha pesa mkuu.![]()
(Nikibet kwa buku huwa sitaki kiweka odds chini ya 200)
Hii ni mara ya 3 kuna siku nimekujua mkeka wa timu 30 Barcelona akasepa na Mkeka wa milioni 7 huwa sioni ajabu maana najua kuna siku ataliwa hata kama si leo.Diuuu aiseee mi hapo ninge edit tu odd zangu tano bhasiii daa una upepo mzuri chief one day Yes mi nakuombea tu
Duuuuu aiseee unakaupepo kazuri mkuu naomba tu unapopata time uwe unashare hap kwa jukwaa mwenye kuokota ataokota ili tutembelee nyota yako hahaha maan huwez jua yawezekna miongoni mwetu akaj kumtusua pesa ndefuHii ni mara ya 3 kuna siku nimekujua mkeka wa timu 30 Barcelona akasepa na Mkeka wa milioni 7 huwa sioni ajabu maana najua kuna siku ataliwa hata kama si leo.
Usjali mkuu japo nasubiri ligi zianze nataka kutafuta timu 30 hata kama ni kwa wiki nzima niwape 2000 nisubiri majibu.Duuuuu aiseee unakaupepo kazuri mkuu naomba tu unapopata time uwe unashare hap kwa jukwaa mwenye kuokota ataokota ili tutembelee nyota yako hahaha maan huwez jua yawezekna miongoni mwetu akaj kumtusua pesa ndefu
Ulikua unakula yani!!Daaaa haya bana naona mhindi kaamua kusep na ten langu bila hata ya huruma aisee
Asante jaribio la kwanza Hockey odds 1.97 naona kunatufaa sana sie wa odds chache..Kuanzia night kali saa tisa kuna game za NHL,AHL-USA na WHL-Canada
Mi nilichanganya na wacanada hapa naona timu moja wanakata viuno tyuuuJaribio la kwanza Hockey
![]()
Aise, kuna moja nakumbuka nilimweka wa canada ila baadae nilimtoaMi nilichanganya na wacanada hapa naona timu moja wanakata viuno tyuuu
WaCanada na waUSA wako vizuri sana over 4.5 ni kugusa tu...ni timu chache sana utakuta imeshindwa kufikisha hiyo idadi ya magoliAsante jaribio la kwanza Hockey odds 1.97 naona kunatufaa sana sie wa odds chache..
Mr. Wise
Koncho
Wengine
![]()
Machale yalikucheza hahaha yawezekna ni huyu akaj kudondokea kwanguAise, kuna moja nakumbuka nilimweka wa canada ila baadae nilimtoa
Shukrani sana, maana hata sikuangaika na league za nchi nyingine nili base hapo hapo uliponishauriWaCanada na waUSA wako vizuri sana over 4.5 ni kugusa tu...ni timu chache sana utakuta imeshindwa kufikisha hiyo idadi ya magoli
yaah well said..naona ice hockey kama huna tamaa ya odds unaweza kumpiga vizuri kwa odds 2 kila mkeka..Asante jaribio la kwanza Hockey odds 1.97 naona kunatufaa sana sie wa odds chache..
Mr. Wise
Koncho
Wengine
![]()
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Machale yalikucheza hahaha yawezekna ni huyu akaj kudondokea kwangu