Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nilikuwa Natest Mitambo maana sijui chochote kwenye ice hockey ngoja nijaribu huu ukiritimba najua kesho nitakuwa mtaalamu.
Site twa test mitambo mkuu maan daa khanji kwenye football mi kaninyoosha mpak nikanyosheka aisee timu unaipa over 1.5 inatoa under 1.5 ukiweka under 3.5 yanatoa over 3.5 aseee
 
This is the guy messages
5X5X9DX
15/11/2017 07:43:57
Code 9324 Date 15/11/2017 20:45
Event Crusaders Belfast - FC Linfield
Live/Prematch Normale Selection 2-1
 
Msaada tutani hapo wandungu nataka nilipuke na basket mkuu Buddy, koncho na wengineo weken baraka zenu hapo kabla cjajilipua
 
Attachments

  • Screenshot_2017-11-15-18-17-23.png
    Screenshot_2017-11-15-18-17-23.png
    23.1 KB · Views: 49
Anybody with experience na Superbet..
Wakoje ukifanya withdrawal au stability ya system yao?
Naona wako vizuri kwenye options...
 
Jamani nipo natest Hockey hapa, japo wanasema kubet ni bahati ila huku kwenye Hockey kuna bahati zaidi..... Bado mkeka unasoma ila ninapata mawazo ya kustaafu soka na kuhamia kwenye hockey.

Ukichagua timu mbili ukizipa ov 5 au 4 unapiga pesa safiiiiii, mimi nimetest kwa odds nyingi kidogo ili nione kama bahati itakuwa nami.
 
kila la kheri mkuu popote utakapo kuta ligi ya canada-OHL weka over 4.5 huwa zinatoa na nimaramoja sana kuzingua labda timu moja tu kwa mechi za siku nzima
 
kila la kheri mkuu popote utakapo kuta ligi ya canada-OHL weka over 4.5 huwa zinatoa na nimaramoja sana kuzingua labda timu moja tu kwa mechi za siku nzima
Asante mkuu naendelea kusikilizia hali naamini mambo yatakuwa mazuri.
 
Back
Top Bottom