2jabway
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,257
- 1,398
Duuu aisee huko ndo kutamu tatizo lao server error mi niliwalimbia kitamb hao aisee😀😀😀😀😀safi sana meridian wao wana hadi over 3.5
Duuu aisee huko ndo kutamu tatizo lao server error mi niliwalimbia kitamb hao aisee😀😀😀😀😀safi sana meridian wao wana hadi over 3.5
hata mimi nilisha wakimbia kudeposit wanakata bado kodi, premier mambo safi japo tatizo lao lipo kwenye kuwithdrawDuuu aisee huko ndo kutamu tatizo lao server error mi niliwalimbia kitamb hao aisee
Sawa mkuu shukraniDuuu aisee huko ndo kutamu tatizo lao server error mi niliwalimbia kitamb hao aisee
Premier wakilishughulikia hilo la kuwidraw tu basi hakuna haja ya kuhangaika na company nyingine aiseehata mimi nilisha wakimbia kudeposit wanakata bado kodi, premier mambo safi japo tatizo lao lipo kwenye kuwithdraw
Pamoja mkuuSawa mkuu shukrani
[emoji23] [emoji23] naona kanji ananifuata futa nimeweka mkeka hapa wa hockey hadi sasa bila bila kweli Ov 4 yatatoka na bado dakika 5 kipindi cha kwanza kiishePamoja mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu icehockey ni mchezo wa ajabu huwez amini utatoboa tu mi asubuhi kidgo nitoe haja kubwa niliweka over 4.5 nikawek mzigo wa maan mpak kipindi cha tatu kinaanza wapo 2-0 aisee nikahis naanz kuishiwa nguvu kuja kutaharuki 6-1 hata cjui walifumuan vipi so kuwa mvumilivu[emoji23] [emoji23] naona kanji ananifuata futa nimeweka mkeka hapa wa hockey hadi sasa bila bila kweli Ov 4 yatatoka na bado dakika 5 kipindi cha kwanza kiishe
Mkuu niombee yale maombi unayoombea mh hebu mega maombi kidogo elekeza kwangu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu icehockey ni mchezo wa ajabu huwez amini utatoboa tu mi asubuhi kidgo nitoe haja kubwa niliweka over 4.5 nikawek mzigo wa maan mpak kipindi cha tatu kinaanza wapo 2-0 aisee nikahis naanz kuishiwa nguvu kuja kutaharuki 6-1 hata cjui walifumuan vipi so kuwa mvumilivu
Hahahaaa mkuu usinichekeshe asee tuko pamoja mi nakuombea maana vita yetu ni moja tu hap kwa jukwaaMkuu niombee yale maombi unayoombea mh hebu mega maombi kidogo elekeza kwangu.
Mniombee
Ndo wamepata kabao kamoja 2 PeriodHahahaaa mkuu usinichekeshe asee tuko pamoja mi nakuombea maana vita yetu ni moja tu hap kwa jukwaa
Kumbe maombi yameanza kufanya kazi ngja nikazane jitahid kubinya huko mkuu nami nakomaa huku aisee hahahaNdo wamepata kabao kamoja 2 Period
[emoji23] [emoji23] Yaani mhindi ameniwekea alama kila napopita ananitoka nyumaKumbe maombi yameanza kufanya kazi ngja nikazane jitahid kubinya huko mkuu nami nakomaa huku aisee hahaha
Hahahahaaa unauhasama nae nini dawa yake hyo kabla hujaweka mkeka tafuna pilipili kwanza ili ikija kuwek atajua kuwa ni mhindi mwenzie so simple haha[emoji23] [emoji23] Yaani mhindi ameniwekea alama kila napopita ananitoka nyuma
Mkuu ndgu yangu hamia tu kwenye icehockey kiukweli haitakuangusha labda kma mhindi unaubaya nae hahaha icehockey japo siujui kiundani sana angalao unanipunguzia machungu
Hahhahah wamepata kabao ka pili naamini mambo mazuri nimechagua timu kama 10 hv ambayo zilipewa 1.5 na nina imani leo hii nitamvua nguo mbele ya watuHahahahaaa unauhasama nae nini dawa yake hyo kabla hujaweka mkeka tafuna pilipili kwanza ili ikija kuwek atajua kuwa ni mhindi mwenzie so simple haha
Ipo bomba over 4.5. Naona ligi za USA na CANADA zinahusikaMkuu ndgu yangu hamia tu kwenye icehockey kiukweli haitakuangusha labda kma mhindi unaubaya nae hahaha icehockey japo siujui kiundani sana angalao unanipunguzia machungu
Safi san sasa mbn hujawek kwa jukwaa hap mkuu nasi tudokoe maan icehockey wengine tunabet tu ila hakuna kinachojulikn zaid ya over na under hahaHahhahah wamepata kabao ka pili naamini mambo mazuri nimechagua timu kama 10 hv ambayo zilipewa 1.5 na nina imani leo hii nitamvua nguo mbele ya watu
Mkuu nilikuwa Natest Mitambo maana sijui chochote kwenye ice hockey ngoja nijaribu huu ukiritimba najua kesho nitakuwa mtaalamu.Safi san sasa mbn hujawek kwa jukwaa hap mkuu nasi tudokoe maan icehockey wengine tunabet tu ila hakuna kinachojulikn zaid ya over na under haha
Mkuu huwez amini mi nimeanza jna kuucheza niliingia na buku10 ila mpaka naamka nina kilo na 20 maana nilicheza za mapema nikacheza za usiku nikamalizia na ligi ya marekan ambayo wamecheza alfajir japo kuna timu ilitaka kunitoa roho hahaHahaha, i wish ningejua Ice Hockey inachezwaje. Yani mm michezo nayoijua ni Footbal & Basketball tu ... mengine yote sijui sheria za hiyo michezo ikoje.
Hata hivyo sijatupia mkeka leo, niliextend likizo kdg. Japo huwa napenda kuendelea kufuatilia hata humu jukwaani.