Franco Dsm
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 565
- 423
Tujaribu [emoji34] [emoji34] [emoji34] odds 60
Hawajibu chochote Mkuu!!.sasa ni saa 22 zimepitawapuuzi kabisa hawajibu chochote
hongera once again browon! won! won! won! won!
wakuu nani alifuata ushauri huu? mimi binafsi niliufanyia kazi na nimepata
381,500/-
View attachment 631011 wiki hii imekuwa njema sana kwangu. juzi na leo Asante Mungu.
huyu muhindi alidhani kutubania kudeposit katuweza ile elfu kumi iliyo baki kwenye account imenipa hiyo faida
Sijui kimewakumba nini...mm nimepiga sana mpungwa GSBGsb kwangu haikubali wiki ya pili sasa, na ndio kampuni pekee ambayo nmepata faida ya 10000%
Congratulations brotherwon! won! won! won! won!
wakuu nani alifuata ushauri huu? mimi binafsi niliufanyia kazi na nimepata
381,500/-
View attachment 631011 wiki hii imekuwa njema sana kwangu. juzi na leo Asante Mungu.
huyu muhindi alidhani kutubania kudeposit katuweza ile elfu kumi iliyo baki kwenye account imenipa hiyo faida
Achana nao wapo kwenye matengenezoJamani najaribu kudeposit gsb inanikatalia ,huu ndo ujumbe nnaopata ,sijui nakosea wap
friendly games zitakukaushia mtaji ni dakika ya 77 hadi muda huu naandika wapo 1-2 naiona droo nyingine au ufaransa akishinda kabisa.Acha nife tena na German brothers.
Hahaha kweli mkuu but Denmark wamenipa ushindifriendly games zitakukaushia mtaji ni dakika ya 77 hadi muda huu naandika wapo 1-2 naiona droo nyingine au ufaransa akishinda kabisa.
hii GSB ndio kirefu chake nn?Sijui kimewakumba nini...mm nimepiga sana mpungwa GSB
Wana options za ushindi mno
galsportsbettinghii GSB ndio kirefu chake nn?