mimi bado haijafikahata kama system yao iko vizuri bado kwenye kutoa pesa hawa jamaa ni mizigo. jana nimevuta sa mbili na dk 6 imekuja kuthibitishwa sa saba kuelekea sa nane huko
mimi bado haijafikahata kama system yao iko vizuri bado kwenye kutoa pesa hawa jamaa ni mizigo. jana nimevuta sa mbili na dk 6 imekuja kuthibitishwa sa saba kuelekea sa nane huko
Imeingia muda huu baada ya kuitoa saa tano na robomimi bado haijafika
nafikiri pesa yetu iliyoshikiliwa hewani ndo inatumika kuwalipa ninyi wanaendesh kibabaishaji sana namba za simu hawana tunatuma emails hawajibu chochoteImeingia muda huu baada ya kuitoa saa tano na robo
Jaribu kuwatafuta hapa 0764700700nafikiri pesa yetu iliyoshikiliwa hewani ndo inatumika kuwalipa ninyi wanaendesh kibabaishaji sana namba za simu hawana tunatuma emails hawajibu chochote
hata mimi huku muda c mrefu nimekuta txtImeingia muda huu baada ya kuitoa saa tano na robo
Katika kutoa pesa hawako vizuri mimi pesa yangu ilikaa wiki nzima ndiyo wakairudisha kwenye acchata kama system yao iko vizuri bado kwenye kutoa pesa hawa jamaa ni mizigo. jana nimevuta sa mbili na dk 6 imekuja kuthibitishwa sa saba kuelekea sa nane huko
Habari na kutumia mfano mzuri utakusaidia sana kuelewaKwa wale wa Princess bet hii inamaana gani (who wins the rest of the matches
game za leo vipi wadau
me nnampa ushindi England X Brazil, Germany X France nimempa France, Nigeria X Argentina nimempa Nigeria... Nimetia 5,000... imekuja 352,000 kwny (sportpesa)
lost! lost! lost! lost! tuna update hata kama tumepoteza sio ku update tu tulizo kula. kesho nayo ni siku.baada ya premiere kuzungua nimebadili gia anganiView attachment 630679
This is football brother, hakuna uchawi mkuu, vyote vinawezekana haya mambo ujasiri tu. Wrote alowapa wako katika ardhi zao za nyumbani. Option murua kabisa japo amejilipua kwelikweli.sikukati moyo lakini kwa timu ulizochagua zikitiki nakutumia 50,000
england hata wacheze na san marino wanaishia droo, na uyo nigeria sijuuuui
Mkuu miujiza huwa imetokea lakini si kwa timu mbili
wapuuzi kabisa hawajibu chochoteWakuu hawa Premier Vip nimediposit pesa zaidi ya MASAA 15 HADI SASA HAKUNA CHOCHOTE NIFANYEJE?.
nani alisema kuna odds za uhakika? mkuu zitafute mwenyewehata kwa double chancheWakuu naombeni odds 5 za uhakika...Nataka nijilipue 60k
Nina shida ya laki 3.
Deal Done!Odds 1.45
Bhutan v Oman
4,5 + goals
![]()
ddaaaahuu mchezo huu una mashaka kwa kweli, aliyeleta amelose, mimi niliyejiengeza nime win, pole sana mkuu. tuletee mwengine wa basket
View attachment 628232