Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*Breaking: Italy out of 2018 World Cup *

Italy needed to win their playoff game against Switzerland today. The game just ended 0⃣-0⃣.

Since 1958, Italy has been in every edition of the World Cup.

Italy has been the finalist 6⃣ times, winning the World Cup 4⃣ times.

Now they will not be going to Russia next year.

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +917397742591*

Type BJ7 to like this
 
Wakuu Mnaiongelea sana Hockey, hebu wenye mwanga wa hii kitu watusogezee hapa pamoja na best Options zake.
kwa haraka haraka ice hockey au mchezo wa magongo ni mchezo unaochezwa na wachezaji 6 kila upande katika vipindi 3 vya dakika 20 kila kipindi, kuna halftime baada ya kila kipindi kwa ujumla unaweza chezwa ndani ya masaa mawili hivi.

unachezwa nchi nyingi ila hasa zile zenye barafu maana unahusisha kuteleza kwenye uwanja wenye Ice ndo maana unaitwa ice hockey,
kama ilivyo football huku pia kuna Both team to score ambayo probability ni kubwa sana 80%-90% ila hutokea pia zizifungane maana inategemea na ligi husika ipoje.

kutabiri ushindi wa moja kwa moja ni kama mpira wa miguu tu unaweza kuta team yenye uwezo inachezea kichapo kama kawaida, kuna options za Hand caps kuanzia 1-3 ambazo zina odds nzuri tu ukicheza vizuri inatoa fresh.

all in all this is still betting hakuna mchezo wa uhakika japokuwa football zinatuliza sana .
mimi ice hockey huwa nikiweka mikeka 5 naweza poteza mmoja au miwili.
n.b usiwe na tamaa ya odds nyingi utapigwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..

tafuta odds zako mbili weka stake kama tunavyofanya kwenye football tu
 
kuna michezo mingi guys basketball pia..
tujaribu mbinu tofauti tofauti huyu Kanji ukimtafuta kwenye mpira pekee ndo kama vile Italy kashindwa kufunga hata goli moja...
unashaanga Madrid anafungwa mara Chelsea amedroo full stress
 
kwa ice hockey ligi nzuri kucheza ni za marekani na urusi kwa upande wangu mimi so far.. ila hata ligi za nchi nyingine unaweza zifanyia utafiti tu kujua mwenendo wao then unajitupa...

kama ilivyo Basketball NBA mimi ndo ligi yangu ya kubetia ila hawa wengi ni maji ya uvugu vugu hawatabiriki
 
Asia
Malaysia - North Korea
Tip 2 @1.23

Europe
Italy - Sweden
Tip uner3.5 @1.22

Qatar
AL Gharafa - AL Kharitiyat
Tip over1.5 @1.22

Qatar
AL Duhail SC - AL Sailiya
Tip over1.5 @1.20

Odds 2.19

[HASHTAG]#WASIOOOINA[/HASHTAG] KESHO NAYO N SIKU
 
[HASHTAG]#KAMAHUKUIONAAKESHONAYONISIKU[/HASHTAG]
Booking Number:5WT8HRM

13/11/2017 09:56:38
Code 1007 Date 13/11/2017 18:45
Event Slovenia U21 - France U21
Live/Prematch Selection Over 1.5
Code 1961 Date 13/11/2017 15:30
Event Greece U21 - Croatia U21
Live/Prematch Selection GGorOv
Code 1175 Date 13/11/2017 14:00
Event Serbia U19 - Netherlands U19
Live/Prematch Selection Over 1.5
Code 1195 Date 13/11/2017 18:00
Event Switzerland - Czech Republic U20
Live/Prematch Selection Over 1.5

3 odds
 
[HASHTAG]#KWAHISANIYADKSHIKAKESHONAYONISIKU[/HASHTAG]
*⚽21:00*
*2.14 odds*
*Booking Number: 5WRSTCL*
*★stanlee★‍*


4279 Brasileiro Serie A
Cruzeiro MG - Fluminense RJ
*12 1.25*

4280 Brasileiro Serie A
Coritiba PR - Ponte Preta SP
*Over(1.5) 1.34*

3376 Primera B Nacional
Mitre Santiago Del Estero - Juventud Unida Gualeguaychu
*1X 1.17*

3370 Primera B Nacional
Gimnasia Jujuy - Deportivo Riestra
*1X 1.09*
 
[HASHTAG]#kamahukuionaakeshonayonisiku[/HASHTAG]
KWAHISANI YA DK SHIKA
Booking Number:5WT92FJ

13/11/2017 10:01:11
Code 2305 Date 13/11/2017 18:00
Event Bulgaria - Saudi Arabia
Live/Prematch Normale Selection 1

2.20 odds

MAPEMAAAAA
 
[HASHTAG]#kamahukuionaakeshonayonisiku[/HASHTAG]

Kwahisani ya Dk Shika

Booking Number:5WTT26C13/11/2017 12:06:30

Code 2313



Date 17/11/2017 19:00

Event FC Helsingor - Hobro

Live/Prematch Normale



Selection Over0.5

Code 2414



Date 13/11/2017 20:45

Event Italy - Sweden

Live/Prematch Normale



Selection 1X & Under

Code 2748



Date 13/11/2017 20:45

Event Poland - Mexico

Live/Prematch Normale



Selection 2-6 Goals

Code 4814



Date 13/11/2017 13:00

Event Malaysia - North Korea

Live/Prematch Normale



Selection 2

Code 2304



Date 13/11/2017 15:00

Event Armenia - Cyprus

Live/Prematch Normale



Selection 1X

Code 4731



Date 13/11/2017 20:45

Event Kingstonian - Ashford Town

Live/Prematch Normale



Selection Over1.5

mapemaaaaaaa
 
kwa ice hockey ligi nzuri kucheza ni za marekani na urusi kwa upande wangu mimi so far.. ila hata ligi za nchi nyingine unaweza zifanyia utafiti tu kujua mwenendo wao then unajitupa...

kama ilivyo Basketball NBA mimi ndo ligi yangu ya kubetia ila hawa wengi ni maji ya uvugu vugu hawatabiriki
canada OHL nimeiona inatoa over 4.5 za kufikia afu odds nzuri na pia zinafungana sema Makampuni wanaikwepa ila ukikuta imewekwa usijiulize mara mbili japo kama sio bahati yako bado unaweza kupigwa tu
 
sijaona sehemu yenye tobo labda itali nitampa double chance endapo nitaenda sambamba na wewe
92014ce7b676d43fb2ef3ede34be2d81.jpg

kama ulifuata ushauri kwa huyo muitali hao wengine sijacheki wametokaje
 
kuna michezo mingi guys basketball pia..
tujaribu mbinu tofauti tofauti huyu Kanji ukimtafuta kwenye mpira pekee ndo kama vile Italy kashindwa kufunga hata goli moja...
unashaanga Madrid anafungwa mara Chelsea amedroo full stress
Basket cku hiz nacheza OVERTIME naipa NO ni ya uhakika sana ila odd ndio kiduchu, hapo naongezea na game mbili tatu za Tennis nachukua mchezaj menye odd ndogo kwenye hiyo game nampa TO WIN ONE SET(hii option ipo premier) Nikishatupia hapo uhakika 90%
 
tutafute timu tano zitakazo toa droo first half
za under21 qualification
 
premier bet wamefunga system yao kudeposit kwa m pesa imekua tatizo sijui jana wamenyooshwa? anyways
yale makorokocho yetu ya Hockey leo yanakuja na odd 3
IMG_20171114_083255_747.JPG
 
Italy ******* sana wamenikosesha hela hivihivi, wanashindwa hata kutoa over 8.5 corner..
 
Back
Top Bottom