Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Jaribu ku-update mkuu, mi natumia kwenye android.
Mkuu, inagoma tu. Nimeuninstall. Nikainstall upya bado yale yale
Jaribu ku-update mkuu, mi natumia kwenye android.
Shida ya hizi ios hua ziko selective saaana kwenye masuala ya apps sana. login kwa kutumia browser ya kawaida achana na hio application
Nenda kwenye browser, hata mara nyingine inazingua nakomaa kwenye browser.Mkuu, inagoma tu. Nimeuninstall. Nikainstall upya bado yale yale
Mkuu, inagoma tu. Nimeuninstall. Nikainstall upya bado yale yale
Na mm ilikuwa inazingua kwa iPhone nikaitoa nimeiacha kwny Android iko poa. Nilijaribu kureinstall pia lkn wapi.
BET LOSEAnaheim Ducks - Tampa Bay Lightning
Tampa Bay Lightning
2.16
Turkey - Albania
Handicap 0:1 Turkey
2.75
Bulgaria - Saudi Arabia
Bulgaria
2.12
Vendsyssel FF - Thisted FC
Half With Most Goals 2nd half
2.11
Al Gharafa SC - Al Kharaityat SC
Half With Most Goals 2nd half
2.08
Combination Odds 55
Utani huu mkuu. Naskia siku hizi wanajulikana. Tutengeneze pesa mzee.mkuu hiyo picha mbona ni kama ya watu wasio jukikana!
hockey inachezwaje au unabet vp mkuu maana inabidi tujifumze na michezo mingine hatukuwa na mpago nayoUtani huu mkuu. Naskia siku hizi wanajulikana. Tutengeneze pesa mzee.
Soccer ina nyekundi mingi sana ndo maana wadau wengi Hockey kule mkwanja wa kiwanja nje nje
Akidraw ndo basi tena hatumwona Russia mwakaniWakuu italy aki draw leo atapona kweli...!?
Shenzi Italy, nishindia mihogo kesho. 90'+ [emoji17]Akidraw ndo basi tena hatumwona Russia mwakani
Akidraw ndo basi tena hatumwona Russia mwakani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Shenzi Italy, nishindia mihogo kesho. 90'+ [emoji17]