kwa haraka haraka ice hockey au mchezo wa magongo ni mchezo unaochezwa na wachezaji 6 kila upande katika vipindi 3 vya dakika 20 kila kipindi, kuna halftime baada ya kila kipindi kwa ujumla unaweza chezwa ndani ya masaa mawili hivi.
unachezwa nchi nyingi ila hasa zile zenye barafu maana unahusisha kuteleza kwenye uwanja wenye Ice ndo maana unaitwa ice hockey,
kama ilivyo football huku pia kuna Both team to score ambayo probability ni kubwa sana 80%-90% ila hutokea pia zizifungane maana inategemea na ligi husika ipoje.
kutabiri ushindi wa moja kwa moja ni kama mpira wa miguu tu unaweza kuta team yenye uwezo inachezea kichapo kama kawaida, kuna options za Hand caps kuanzia 1-3 ambazo zina odds nzuri tu ukicheza vizuri inatoa fresh.
all in all this is still betting hakuna mchezo wa uhakika japokuwa football zinatuliza sana .
mimi ice hockey huwa nikiweka mikeka 5 naweza poteza mmoja au miwili.
n.b usiwe na tamaa ya odds nyingi utapigwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
tafuta odds zako mbili weka stake kama tunavyofanya kwenye football tu