Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

122df9ef2a3822f62def185d852aee7b.jpg

Bet won. Over 0.5 first half
 
niliweka na umesha tafunwa na mbuzi wa kafara. ila kuna mwingine sikushea humu bado timu mbili(ambao nilitoa idea ya kutafuta timu tano zitoke droo first half kwa U21 qualification)

Labda sikuuona mkuu..
 
19aecd0ad5a58060d86dfd1827ab6be0.jpg

Inplay
Weka over 200.5 uagize bia chapchap ukiwa unasubilia hela
 
c16fd51bfd133f92e8968c90a6c98edb.jpg

Kwa waleo mliokubali kufuata over 200.5 endeleeni kula bia
 
tutafute timu tano zitakazo toa droo first half
za under21 qualification
won! won! won! won! won!
wakuu nani alifuata ushauri huu? mimi binafsi niliufanyia kazi na nimepata
381,500/-

IMG_20171114_215807_803.JPG
wiki hii imekuwa njema sana kwangu. juzi na leo Asante Mungu.


huyu muhindi alidhani kutubania kudeposit katuweza ile elfu kumi iliyo baki kwenye account imenipa hiyo faida
 
Back
Top Bottom