BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,368
Huyo Rockets kashanipa odds tatu asubuhi na mapemaHawa phoenix na houston wa hovyo kweli q1 na q2 wamepiga vikap vyakutosha nwafuata q3 over 57.5 yanakat viuno na kutoa under malofa kweli hawa
Nilikosea nilitoa kwa njia ya vocha tokea tarehe 1 october mpaka leo hawajarudishaPesa gani hiyo mdau mbnaa sio kawaida yao kukaa na hela muda mrefu hivo
Asee Mr wise I wish uko muzima naomba nielekeze namna ya kuregister primier bet,Iyo ligi premierbet huwa siioni na nimejikuta jana iyo Hockey imenipiga za uso balaa, I'm going back to my root---FOOTBALL
MonacoICE HOCKEY FAMILY
Wadau wa hockey tuungane hapo katika group la whatsup tushirikiane katika kumpukutisha kanji
Duuu hongera sanaHuyo Rockets kashanipa odds tatu asubuhi na mapema
Ushauri niigata ungecheza magoli[emoji109] [emoji109] AlbirexMonaco
Porto
Albirex
Besiktasi
Ngoja niangalie kama nawezafanya uwekezaji hapaMonaco
Porto
Albirex
Besiktasi
Ni basket hii sio?Ngoja niangalie kama nawezafanya uwekezaji hapa
WADau wa hockey namshauri tufungue group la whatsup au lama
WADau wa hockey namshauri tufungue group la whatsup au kama lipo tupeane link ili tushirikiane kumuangamiza kanji jamani
Hii inaitwa Ice Hockey, team zinaweza fungana hata 8-5. KaribuNi basket hii sio?
Nasubiri hizo odd temboWale wa Odds kuanzia 250 kwa buku kama utakuwa Interested kesho tuunde mkeka wa Over 1.5 kwa Buku (Football) usiogope kupoteza buku kwa kujaribu kitu ambacho kinaweza kutokea.
Asante
Yah napendekeza tusuke wote kwa ujumla kila mtu alete timu zake ili tuunde hicho kitu hata kama ni Basketball au HockeyNasubiri hizo odd tembo
Hapa ndipo, hii kazi yetu inapoonekana kuwa ngumu!!!!!!!Mbabe wa ligi tena yuko nyumbani na alipewa odds 1.1 amepigwa na mwenye odds 19 ... daaaah !
View attachment 631298
TenkcHii inaitwa Ice Hockey, team zinaweza fungana hata 8-5. Karibu
Tumekuunga tayari hapa jukwaani kwani huko wasap kuna nini ambacho humu hupati?Wadau naomba mniunge kwa watsap 0713349202
Wale wa Odds kuanzia 250 kwa buku kama utakuwa Interested kesho tuunde mkeka wa Over 1.5 kwa Buku (Football) usiogope kupoteza buku kwa kujaribu kitu ambacho kinaweza kutokea.
Asante