Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

odds 94 halafu nikaweka shilingi elfu moja!!! ninajilaumu sana hapo ningeweka 10000 nimgekuwa next level.

first half reaults Draw odd za kufa mtu hata kilichoniogopesha sijui ni kipi

hata hivyo asiyeshukuru ni kafiri 94000/- kwa elfu moja bado ni pigo kubwa kwa muhindi. Asante Mungu.
IMG_20171117_224915_298.JPG
 
View attachment 632611
Niombee kesho nina mlima wa Odds 400 hivi, Watanzania naombeni mniombee
 
Kuna mkeka mwingine umeanza kupikwa leo ule ina odds kama 5000 hivi zote over 2
Duuu mkuu ungekuwa umetuwekea hap tukajichukulia naweingine maan daa mi mpira siku hiz sina bahat nao nimetest leo kucheza over 1.5 besiktas kakata viuno mwanzo mwisho kaenda kinyume chake hahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole kamanda fukunyua nyuma kuna karatasi nilitupia hapa ina timu 30 chagua zako wape over 1.5
 
Back
Top Bottom