Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

9d5c13e6664b222295bced646bf7aa6a.jpg
f9cd4af2c18c4a99fe0435bb28590863.jpg

Hizo hapo za kesho
 
RASMI-NATANGAZA KUACHA KWA MUDA KUCHEZA NORMAL UNTIL FURTHER NOTES.
ni mwendo wa options nyinginenyingine tu kama hizo draw first half double chance na nyinginezo.

tangu mwaka 2013 kama sikosei nipo na meridian mpaka leo sijawahi kushinda mkeka wa normal.
 
Hahaha ila mkuu unakaupepo kazuri ka draw aisee daaaa nadhani kesho hutatusahau na sisi wanyonge wa hyu mla pilipili
 
RASMI-NATANGAZA KUACHA KWA MUDA KUCHEZA NORMAL UNTIL FURTHER NOTES.
ni mwendo wa options nyinginenyingine tu kama hizo draw first half double chance na nyinginezo.

tangu mwaka 2013 kama sikosei nipo na meridian mpaka leo sijawahi kushinda mkeka wa normal.
Kwangu mimi siwezi kucheza Normal hata kama ni Brazil na Tanzania
 
kinachouma ni pale krasnodar yenye odd 1.12 inafungwa na kuaribu mkeka wa week nzima ilhali mechi za odd kubwa zinatiki
 
odds 94 halafu nikaweka shilingi elfu moja!!! ninajilaumu sana hapo ningeweka 10000 nimgekuwa next level.

first half reaults Draw odd za kufa mtu hata kilichoniogopesha sijui ni kipi

hata hivyo asiyeshukuru ni kafiri 94000/- kwa elfu moja bado ni pigo kubwa kwa muhindi. Asante Mungu.
View attachment 632611
Safi sana broh, sio mbaya tukiwa tunaiona hapa before japo naheshimu michango yako na huwa naifanyia lazi.
 
Jana mhindi match (16) nimemkosa kosa kwa Tim mbili kunichania mkeka, leo pia nimeikosa 600k Tim mbili zimenichania (match 15). ila hii ya Leo naweza sema ni uzembe wangu tu mhindi akanichanganya kwenye ods Tim mbovu akazipa point ndogo so ningefanya analysis zangu vizuri kesho ningeamka kivingine! ila poa kesho kuna match kibao nitamsotia kadhaa hadi atakaa tu!
 
Back
Top Bottom