Dortmund X2Dortmund & Monaco all to win
ngoja niwajaribu hawa wasengerema
Huu upo vizuriAmani ya Bwana itutangulieView attachment 632518
hao warusi wki iliyopita ilikua nj mqendo wa underHockey ya Russia MHL leo imetoa zote over 4.5
Hahah ngoja tumalizie na za alfajirihao warusi wki iliyopita ilikua nj mqendo wa under
Kanji hajaribiwi [emoji16]Ried over 2.5
Beskitas win
Shakhtar win
Ngoja nimjaribu kanji
Niombee kesho nina mlima wa Odds 400 hivi, Watanzania naombeni mniombeeodds 94 halafu nikaweka shilingi elfu moja!!! ninajilaumu sana hapo ningeweka 10000 nimgekuwa next level.
first half reaults Draw odd za kufa mtu hata kilichoniogopesha sijui ni kipi
hata hivyo asiyeshukuru ni kafiri 94000/- kwa elfu moja bado ni pigo kubwa kwa muhindi. Asante Mungu.
View attachment 632611
hahahaha tupo pamoja.Niombee kesho nina mlima wa Odds 400 hivi, Watanzania naombeni mniombee
Mkuu usijari Mungu yu pamoja nawe aiseeNiombee kesho nina mlima wa Odds 400 hivi, Watanzania naombeni mniombee
Kesho naamini natoboa na timu 30 zanguMkuu usijari Mungu yu pamoja nawe aisee
ulicheza options ganiKesho naamini natoboa na timu 30 zangu
Za 2+ tunakuombea na iwe hvyo aiseeKesho naamini natoboa na timu 30 zangu
Ni magoli mawili nadai kila mechiZa 2+ tunakuombea na iwe hvyo aisee
Duuu mkuu ungekuwa umetuwekea hap tukajichukulia naweingine maan daa mi mpira siku hiz sina bahat nao nimetest leo kucheza over 1.5 besiktas kakata viuno mwanzo mwisho kaenda kinyume chake hahahaKuna mkeka mwingine umeanza kupikwa leo ule ina odds kama 5000 hivi zote over 2
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole kamanda fukunyua nyuma kuna karatasi nilitupia hapa ina timu 30 chagua zako wape over 1.5Duuu mkuu ungekuwa umetuwekea hap tukajichukulia naweingine maan daa mi mpira siku hiz sina bahat nao nimetest leo kucheza over 1.5 besiktas kakata viuno mwanzo mwisho kaenda kinyume chake hahaha