Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Pamoja mkuu hii vita weekend hii khanji hatakuwa salama ninavyohisi hahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole kamanda fukunyua nyuma kuna karatasi nilitupia hapa ina timu 30 chagua zako wape over 1.5
Aisee hizo makitu ziweke hapa tusepe nazoNiombee kesho nina mlima wa Odds 400 hivi, Watanzania naombeni mniombee
Asante mkuu ngja nianze hii kazi mda huu tena nikiwa naked hapa hachomoki walah hahaha
Hizo hapo za kesho
Angalia hapo juu kuna timu 30 nimechagua na ninazidai magoli mawili tu kwa Kila mechiAisee hizo makitu ziweke hapa tusepe nazo
Tafuna pilipili kuna mmoja alinishauri hivyo ili kanji akiona mkeka wako ajue kabisa kuwa wewe ni ndugu yake.Asante mkuu ngja nianze hii kazi mda huu tena nikiwa naked hapa hachomoki walah hahaha
Hahaha ila mkuu unakaupepo kazuri ka draw aisee daaaa nadhani kesho hutatusahau na sisi wanyonge wa hyu mla pilipiliRASMI-NATANGAZA KUACHA KWA MUDA KUCHEZA NORMAL UNTIL FURTHER NOTES.
ni mwendo wa options nyinginenyingine tu kama hizo draw first half double chance na nyinginezo.
tangu mwaka 2013 kama sikosei nipo na meridian mpaka leo sijawahi kushinda mkeka wa normal.
Hahahaa najipak mwili mzima pilipili ili nimkomeshe keshoTafuna pilipili kuna mmoja alinishauri hivyo ili kanji akiona mkeka wako ajue kabisa kuwa wewe ni ndugu yake.
Kwangu mimi siwezi kucheza Normal hata kama ni Brazil na TanzaniaRASMI-NATANGAZA KUACHA KWA MUDA KUCHEZA NORMAL UNTIL FURTHER NOTES.
ni mwendo wa options nyinginenyingine tu kama hizo draw first half double chance na nyinginezo.
tangu mwaka 2013 kama sikosei nipo na meridian mpaka leo sijawahi kushinda mkeka wa normal.
Mkuu kwenye huo mkeka kuna timu mmoja kumbe ilikuwa inacheza leo imetoa 2:2 kwahyo zimebaki 29Hahahaa najipak mwili mzima pilipili ili nimkomeshe kesho
Ok duuu ngja nikomae nazo hizo hizo zilizosaliaMkuu kwenye huo mkeka kuna timu mmoja kumbe ilikuwa inacheza leo imetoa 2:2 kwahyo zimebaki 29
Safi sana broh, sio mbaya tukiwa tunaiona hapa before japo naheshimu michango yako na huwa naifanyia lazi.odds 94 halafu nikaweka shilingi elfu moja!!! ninajilaumu sana hapo ningeweka 10000 nimgekuwa next level.
first half reaults Draw odd za kufa mtu hata kilichoniogopesha sijui ni kipi
hata hivyo asiyeshukuru ni kafiri 94000/- kwa elfu moja bado ni pigo kubwa kwa muhindi. Asante Mungu.
View attachment 632611
Jana mhindi match (16) nimemkosa kosa kwa Tim mbili kunichania mkeka, leo pia nimeikosa 600k Tim mbili zimenichania (match 15). ila hii ya Leo naweza sema ni uzembe wangu tu mhindi akanichanganya kwenye ods Tim mbovu akazipa point ndogo so ningefanya analysis zangu vizuri kesho ningeamka kivingine! ila poa kesho kuna match kibao nitamsotia kadhaa hadi atakaa tu!
ushauri umezingatiwa asante..Safi sana broh, sio mbaya tukiwa tunaiona hapa before japo naheshimu michango yako na huwa naifanyia lazi.
Na mimi nimetest 30 zangu hizo stake jeroKesho naamini natoboa na timu 30 zangu
Safi mkuu, usisahau kushare hapa....week hii nataka kutembelea nyota yakoKuna mkeka mwingine umeanza kupikwa leo ule ina odds kama 5000 hivi zote over 2
imependeza,thanks dr.LUIS!AMIENS VS MONACO DRAW ITAPENDEZA!