Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi kwa mliobeti leo kuna mchawi kweli?
Maana naona timu kubwa zimeshinda zote.
 
Leo watu watatusua kwa kweli naziona dalili aisee
Lakini mkuu kumbuka usipobeti huwa unaona timu zote zimeshinda tusubiri mrejesho wa waliobeti maana wachawi hawakosekani japo leo inaonekana siku nzuri.
 
Lakini mkuu kumbuka usipobeti huwa unaona timu zote zimeshinda tusubiri mrejesho wa waliobeti maana wachawi hawakosekani japo leo inaonekana siku nzuri.
Unachosema nisahihi kabisa mkuu daa
 
Kwa wale wanaotumia kampuni ya gal sport na nyie inakataa ku deposit kama mimi kwangu?
Wana mwezi hao wanasema iko matengenezo eti...wazushi balaa nimehamia superbet options mlima wako fit balaa
 
Tuliokuwa wote kwenye hii safari amebaki Victoria Plzen pekee tupendeze weekend. Tuombe asiwe agent wa Kanji leo, maana hizi timu zinazobaki mwishoni sometimes wanakuwaga na surprises
Nilikufuata mkuu yaan hapa natetemeka mwili mzima stake niliyoweka daaa cjielewi aiseee haha
 
Leo nawaona mnapiga pesa wakuu....nitafurah sana mkipiga mipunga mirefu.. Leo nilitoka kidogo sijaweka mkeka kabisa ngoja nijikongoje hapa na mechi za usiku huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…