Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuliokuwa wote kwenye hii safari amebaki Victoria Plzen pekee tupendeze weekend. Tuombe asiwe agent wa Kanji leo, maana hizi timu zinazobaki mwishoni sometimes wanakuwaga na surprises
NILICHAMBUA HAPA NAONA IMETOA UBARIKIWE
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    10.7 KB · Views: 51
wale wa single bet kama mimi, ikiwa leo hujapata kitu. nakuomba tena nakuomba tena. Real madrid Anashinda na ana odd 2. nakuomba mpe madrid halafu utakachokipata faida kidogo unaweza kuitumia kubet basketball hapo baadae.
 
bet won. 1.2 m!!!!nlikuwa na elf 15 leo nikapiga hesabu ndefu i wish i included chelsea and dinamo tibilis nikaziondoa kwa uoga.. nlisema leo pogba anarudi na ibra so 4 zinawahusu newcastle. lets meet tomorow tuweke tena elf 15 tule m1
Huku share mkeka mkuu
 
Huku share mkeka mkuu

IMG_3135.jpg
IMG_3136.jpg


Tatizo mmekariri majina! Ushauri wangu! Bet elf 5 au elf 10 alaf changanya mambo 1x2 weka 2-3! Zingine option (kona za under over na angalia ligi) premier usiweke team kubwa zaidi ya mbili! Kila weekend mtu anadondoshwa! Moldova na Georgia na turkey na urusi wako poa! Ila kwa BTS cheza [emoji636] championship na UAE! All the best
 
View attachment 633370View attachment 633372

Tatizo mmekariri majina! Ushauri wangu! Bet elf 5 au elf 10 alaf changanya mambo 1x2 weka 2-3! Zingine option (kona za under over na angalia ligi) premier usiweke team kubwa zaidi ya mbili! Kila weekend mtu anadondoshwa! Moldova na Georgia na turkey na urusi wako poa! Ila kwa BTS cheza [emoji636] championship na UAE! All the best
Moldova, urusi, turkey wapo poa kwny nini mkuu?
 
bet won. 1.2 m!!!!nlikuwa na elf 15 leo nikapiga hesabu ndefu i wish i included chelsea and dinamo tibilis nikaziondoa kwa uoga.. nlisema leo pogba anarudi na ibra so 4 zinawahusu newcastle. lets meet tomorow tuweke tena elf 15 tule m1
Tupia tuone huo mkeka wa ushindi pls
 
Mr noble

kama hukufuata hii mikeka na mwingine yeyote akiye sema ni shee nisisikie tena mtu akisem niweke mkeka. maana mkuu alisema hapangiwi hahaha natania tu

najipatia hapa sh 89'000/- kwenye huo mkeka wa pili ungerisk elf tano kesho ungepiga supu ya sh elf 89
won! won! won! won! won!
View attachment 633296
Shukran kwako mzee nakuelewa na tips za 1st half....uko vzr big up
 
huu wa umekamilika saiv na niliuweka jana sa tano usiku
won! won! won! won! won! won! again namshukuru Mungu. Nikiri tu wazi hakuna option tangu kubet kwangu iliyo nipatia kijani mfurulizo kama hii(labda wakat nacheza live in play)
View attachment 633449
Hyo option lazma kanji akufungie kwa jinsi unavyoitendea haki[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom