Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau mkekabet nao wameanzia turbo,kama anayefaham jins ya kuturbo?je ni kama meridian?
 
tafuta timu zisizo zidi nne humu zichambue na uweke pesa. weka kiasi ambacho hata ukipoteza hutaumia.
mkeka huo mrefu ona odds 74 na huo wa pili una odds 17 chambua na kila la heri.
View attachment 632779
View attachment 632780

Mr noble

kama hukufuata hii mikeka na mwingine yeyote akiye sema ni shee nisisikie tena mtu akisem niweke mkeka. maana mkuu alisema hapangiwi hahaha natania tu

najipatia hapa sh 89'000/- kwenye huo mkeka wa pili ungerisk elf tano kesho ungepiga supu ya sh elf 89
won! won! won! won! won!
IMG_20171118_212529_238.JPG
 
Jaman nijibuni bas nmeuliza jins ya kuturbo mkeka bet imebak game ya madrid pekee sijiamini
 
Mr noble

kama hukufuata hii mikeka na mwingine yeyote akiye sema ni shee nisisikie tena mtu akisem niweke mkeka. maana mkuu alisema hapangiwi hahaha natania tu

najipatia hapa sh 89'000/- kwenye huo mkeka wa pili ungerisk elf tano kesho ungepiga supu ya sh elf 89
won! won! won! won! won!
View attachment 633296

BiG UP sn Mr Q [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mr noble

kama hukufuata hii mikeka na mwingine yeyote akiye sema ni shee nisisikie tena mtu akisem niweke mkeka. maana mkuu alisema hapangiwi hahaha natania tu

najipatia hapa sh 89'000/- kwenye huo mkeka wa pili ungerisk elf tano kesho ungepiga supu ya sh elf 89
won! won! won! won! won!
View attachment 633296
Mi nilikufuata mkuu ila cha ajabu si nikajikuta nimeongeza na team nyingine na ndo iloharibu sherehe daaa but hongera sana mkuu
 
Leo nawaona mnapiga pesa wakuu....nitafurah sana mkipiga mipunga mirefu.. Leo nilitoka kidogo sijaweka mkeka kabisa ngoja nijikongoje hapa na mechi za usiku huu
Weka mkuu nilalie nyota yako maana nshavuruga mtaji.
 
Kanji kanipiga baada ya tot kukosa goli moja..! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mr noble

kama hukufuata hii mikeka na mwingine yeyote akiye sema ni shee nisisikie tena mtu akisem niweke mkeka. maana mkuu alisema hapangiwi hahaha natania tu

najipatia hapa sh 89'000/- kwenye huo mkeka wa pili ungerisk elf tano kesho ungepiga supu ya sh elf 89
won! won! won! won! won!
View attachment 633296
Nilichukua timu mbili mbili kila mkeka na hapo ndipo nilipofeli chief....ila upo vizuri mkuu
 
Kwa kweli siku ya Leo imekuwa fair kiasi chake, Mauzo ya Odds kwa Kanji leo lazima yawe chini kidogo...
 
bet won. 1.2 m!!!!nlikuwa na elf 15 leo nikapiga hesabu ndefu i wish i included chelsea and dinamo tibilis nikaziondoa kwa uoga.. nlisema leo pogba anarudi na ibra so 4 zinawahusu newcastle. lets meet tomorow tuweke tena elf 15 tule m1
 
Dah kesho lazma nitembelee Nyoman yako mkuu
 
Back
Top Bottom