Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ebwn Mr.Q naona upepo wako wa hatari saiv
 
Leo tena laki 8. Kama una mtaji mkubwa jaribu hii hata laki weka! Kama unaweza mweke marseille.x na kama kampuni unayo bet kuna team za CostaRica mtafte mtu anaitwa “LIMON FC mpe BTS huwez kukosa! Huu mkeka leo mashaka ni (schalke na Lyon) ila ndo risks! Best of luck
 
Makamanda Amani ipo? Naona vita inaendelea vita ni vita mura hadi muhindi ajisalimishe ha haaa
 
Ngja nitembee na nyota yako mkuu
 
Kabisa...... mimi nimestop kwa mda kutokana na Kanji kunipurua mitaji yote ila next month mapema nitakua vitani Full Armed! [emoji23]
Hahahahaa khanji hafai ila ukimuotea inapendeza zaidi mi kupumzika huwa i aniuma maana namdai pesa zangu nyingi san huyu muhindi haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…