Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

next game yupo na barca nguvu kubwa itakuwa huko nadhani
 
Kocha boya sana anaacha wachezaji benchi anasacrifice mechi rahisi ili eti aje ampige Barca UCL...
 
nimeamini.derect.win ni hatari sana.timu za jana zote zimetik nkawa nasubiri timu moja tu leo tena yenye uhakika matokeo yake imetoa sare
 
nimeamini.derect.win ni hatari sana.timu za jana zote zimetik nkawa nasubiri timu moja tu leo tena yenye uhakika matokeo yake imetoa sare
Pole Sana. Mimi pia juve Nime MPA double chance na bado kalizua
 
huu ni usenge na tutaendelea kuliwa sana acha nihamie kwenye hockey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…