Hii ni rasmi sasa. Juve amenifanya nianze kubet kwa macho kwa wiki yote ijayo.
Nimekimbilia kwenye inplay ambayo Panathinaikos quater ya kwanza vimetoka vikapu 56 nikaangalia second quater wameweka odd 1.88 kwa over 38.5 nikajichomeka mazima kwa kukubali over 38.5.
Sijaamini mpaka muda huu maana vimetoka vikapu 26 peke yake. Nimeamua kupiga bia tu maana KANJI hapendi ujinga
Kuna tofauti kati ya 3-way (home win, draw and away win) and over 2.5 goal na Both teams to score and over 2.5 goal
Hata UEFA nitabetia macho tuHahaha Mkuu
pole ungujua mapema ungewapa double chanceLyon na Montpelier wamenikosesha laki 6 na elfu arobain huko sportpesa. Damn.
Pole sana mkuu daaa mi lyon daaDuuuh .. Kanji anaroga wallah ... goli linapatikana dk ya 90+5 na kuchana kifuta machozi changu ... [emoji134] [emoji134] , walibaki wao tu daaah. So painful ...
![]()