Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hao Montpellier kwa kuwakazia vigogo hawajambo. Hao ukiwacheza Under 2.5 uhakika ni mkubwa sn.
Ni nadra sn kuona wamecheza game na kutoa 3+
Yaani sijui ni uchawi gani huyu mhindi anatumia lyon milimkata kwenye huo mkeka aisee lakini mwishoni nikashawishika kumrudisha daa kanikosesha hela ndefu kinouma ila ndo biashara ilivyo hahaha unaweza kuwa chizi aisee
 
wakuu inplay vp? mwenye kuona basi atupie... natafuta ada ya dogo...
 
upload_2017-11-20_1-25-24.png
 
Kila nikiingia kwenye website ya meridianbet naambiwa nchi yangu imekuwa blocked iwe kwenye pc au simu kote majibu ni yale yale.....Nimewapigia wananiambie nirestart pc lakin tatizo lipo palepale.......Msaada ndugu zangu

Kwa hiyo unaamini betting itakutoa sio??.
 
Inauma sana safari ya jumamosi ilinifanya nishindwe kulipia huu mkeka...nilipoenda hakukuwa na internet access kabisa na niliuaandaa since ijumaa
 
Ngoja nipunguze machungu ya jana kwa mwenye mawazo hapo anakaribishwa ligi ya china basket hyo mda saa 2:30 zinaanza
 

Attachments

  • Screenshot_2017-11-20-13-52-23.png
    Screenshot_2017-11-20-13-52-23.png
    26.3 KB · Views: 62
Lyon Jana katibua kinoma!!! Mhindi Jana kala faida sana..nadhani weekend ilienda salama kwa mhindi baada ya kupoteza jumamosi
 
Watford FC - West Ham Utd
1/X
1.31

Sampdoria Genoa - Juventus Turin
Over 2.5 goals
1.61

Spal 2013 - AC Fiorentina
X/2
1.20

Werder Bremen - Hannover 96
Over 2.5 goals
1.68
BET WON kama ulifata hapa
 
Back
Top Bottom