Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Fuata nyuki uliwe asali namba mbili ila huo wa kwanza utakua bora zaidi ya huu. Odd 2387
IMG_20161013_093055_901.JPG
 
na ligi ya bongo wanaweka siku hizi....
 
Attachments

  • Ruvu Shooting Ndanda.png
    Ruvu Shooting Ndanda.png
    31.4 KB · Views: 57
Kila nikiingia kwenye website ya meridianbet naambiwa nchi yangu imekuwa blocked iwe kwenye pc au simu kote majibu ni yale yale.....Nimewapigia wananiambie nirestart pc lakin tatizo lipo palepale.......Msaada ndugu zangu
 
Wapigie wao meridian
 
Mm nakushaur ujaribu kuidownload application yao ktk searching engine yoyote ile unayotumia.
 
Katika pita pita zangu kujiandaa na weekend, nimekutana na hizi mechi za hawa waarabu (Kuwait Premier league) na zimenishangaza kidogo. Iweje timu zilizoanza vzr kwenye ligi yao zipewe odds nyingi hivi? ... au kuna mtego ambao sijauelewa?

Nimelazimika kujaribu hii ... wenda Kanji kajisahau systems zake zimeweka odds vice versa ... hahaha

upload_2016-10-13_16-8-24.png

View attachment 417457

Hazionekani vizuri
 
Mkuu unaweza kuziandika timu maana screenshot haionekani
 
Back
Top Bottom