Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Katika pita pita zangu kujiandaa na weekend, nimekutana na hizi mechi za hawa waarabu (Kuwait Premier league) na zimenishangaza kidogo. Iweje timu zilizoanza vzr kwenye ligi yao zipewe odds nyingi hivi? ... au kuna mtego ambao sijauelewa?

Nimelazimika kujaribu hii ... wenda Kanji kajisahau systems zake zimeweka odds vice versa ... hahaha

View attachment 417457

nmechelewa kuona hii, tathmini yako nzuri
anything can happen
naona game zipo 30' 0-0
 
Bet 1.

chrome_2016-10-13_18-59-37.png
 
Habarii wazee wa kuweka mizigo. Ebana m-bet uki WIN au uki LOST inakuonyesha wapi?
 
Back
Top Bottom